Briggs & Stratton 073052-00 WP2RS Manual De Instrucciones página 102

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • MX

Idiomas disponibles

  • MEXICANO, página 20
Maelezo ya Vifaa
Soma maelekezo haya kwa makini na
kuuelewa mtambo wako wa kupiga maji Jua
matumizi yake , mapungufu yake, na hatari
zozote zinazohusika. Hifadhi maelekezo
haya kwa ajili ya marejeleo ya baadaye.
Mashine haya hayajaundwa ili kutumiwa na watu
(wakiwemo watoto) walio na uwezo pungufu wa kimwili,
kihisia au kiakili, au wanao ukosefu wa uzoefu na maarifa.
Kila jitihada imefanywa ili kuhakikisha kwamba taarifa
katika kabrasha ili ni sahihi na ya hivi punde zaidi. Hata
hivyo, tunahifadhi haki ya kubadilisha, kurekebisha, au
vinginevyo kuboresha bidhaa hii na waraka huu wakati
wowote bila arifa ya mapema.
ILANI Kama una maswali kuhusu matumizi
yanayokusudiwa, wasiliana na mhudumu
aliyeidhinishwa. Kifaa hiki kimeundwa kutumiwa na
bidhaa za nguvu za umeme na vipuri vilizoidhinishwa
vya Briggs & Stratton PEKEE.
Vipengele na Vielekezi
A
Kizibo cha Msukumo
B
Kipenyo cha Kumwaga
C
Kisafishaji hewa
D
Plagi
E
Wenzo la Kasi ya Mtambo
F
Leva ya Kusakama
G
Valvu ya Mafuta
Kielelezo
Uunganishwaji
Mafuta
Mapendekezo ya Mafuta
Tunapendekeza utumie oili Zilizothibitishwa zenye
Dhamana za Briggs & Stratton kwa utendaji bora.
Sabuni zilizo na mafuta za aina nyingine ya ubora wa juu
zinakubaliwa kama zimewekwa kwa makundi ya huduma
SF, SG, SH, SJ au zaidi. USITUMIE nyongeza maalum.
Joto ya nje huamua mnato sahihi wa mafuta
unaotumika kwa injini. Tumia chati kuchagua mnato
bora kwa masafa ya halijoto ya nje inayotarajiwa.
Kuangalia Kiwango cha Mafuta Kielelezo
Kiwango cha mafuta kinafaa kukaguliwa kabla ya kila
matumizi au angaa kila baada ya saa 8 za operesheni.
Hakikisha kiwango cha mafuta kinatosha na hakipungui.
1. Hakikisha mtambo wa kupiga maji uko katika sakafu
tambarare.
2. Ng'arisha sehemu ya kujazia oili, ondoa kifuniko/Kijiti
cha kupimia mafuta na kukipangusa vizuri na kitambaa
kikavu. Ondoa kijiti cha kupimia oili. Ondoa na ukague
kiwango cha mafuta (oil).
ILANI USISOKOTE kijiti cha kuangalia oili unapoipima
3. Hakiki oili ipo katika alama kamili (A) kwa kijiti cha
kupimia oili. Sawazisha na ukaze kifuniko cha mafuta.
6
1
H
Kiwashi cha Waya
J
Kifuniko cha Kujaza Oili
K
Plagi ya Kumwaga Oili
L
Kizibo cha Lindi la Maji
M
Kipenyo cha Kufyonza
N
Swichi ya On/Off
P
Tangi la Mafuta
Kielelezo
2
3
Kuongeza Oili ya Mtambo
1. Hakikisha mtambo wa kupiga maji uko katika sakafu
tambarare.
2. Kuangalia kipimo cha oili katika "Checking Oil Level".
3. Inapohitajika, mwaga oili katika kipenyo cha oili na
kujaza kwa alama kamili iliyo katika kijiti cha kupimia.
USIjaze kupindukia.
ONYO Kujaza oili kupita kiasi kwaweza kusababisha
mtambo kutowaka ama kuwa mgumu kuwaka
• USIJAZE kupita kiwango.
• Iwapo utajaza oili kupita kiwango, punguza oili hadi
kiwango cha "Full" katika kijiti cha kupimia.
4. Rudisha na kukaza kifuniko.
Ongeza Oili Kielelezo
Mafuta lazima yakidhi mahitaji haya:
• Masafi, freshi, petroli isiyo na madini.
• Kima cha chini cha 87 octane/87 AKI (91 RON).
Kwa matumizi katika sehemu za mwinuko, tazama
"High Altitude".
• Petroli iliyo na 10% ya ethanoli (mchanganyiko wa
petroli na ethanoli) inakubalika.
ILANI Matumizi ya mafuta yasiyoidhinishwa huharibu
mtambo na kubatilisha udhamini.
• USITUMIE petroli, isiyoidhinishwa kama E15 na E85.
• USICHANGANYE oili na petroli ama kukarabati
mtambo ili utumie mafuta mbadala.
Ili kulinda mfumo wa mafuta dhidi ya uundaji wa gamu
changanya kidhibiti cha mafuta wakati unapokuwa
ukiongeza mafuta kwenye mashine yako. Tazama Uhifadhi.
Mafuta yote ni tofauti. Ukipata matatizo ya kuwasha au
utekelezaji baada ya kutumia mafuta, badilisha mafuta
unayotumia kwa muuzaji mwingine au badilisha kampuni.
Injini hii imethibitishwa kutumia petroli. Mfumo wa udhibiti
wa utoaji moshi wa injini hii ni EM (Marekebisho ya Injini).
ILANI Mafuta na mivuke yake yana uwezo wa kuwaka
na kulipuka na yanaweza kusababisha
kuchomeka, moto ama mlipukop
unaoweza kusababisha maafa ama
majeraha mabaya .
UNAPOONGEZA MAFUTA
• ZIMA pampu ya mafuta na kuacha kwa dakika mbili
ipunguze joto kabla ya kutoa kifuniko. Legeza kifuniko
taratibu ili kupunguza shinikizo katika tanki.
• Jaza au kufyona mafuta kutoka kwa tanki ukiwa nje ya
makazi.
• USIZIDISHE mafuta kwenye tangi la mafuta. Ruhusu
nafasi kwa upanuzi wa mafuta.
• Kama mafuta yatamwagika, subiri mpaka pale ambapo
yatakapoyeyuka kabla ya kuwasha injini.
• Hakikisha kwamba mafuta yako mbali na cheche za
moto, miali ya moto, taa zilizo mbele ya mashine, joto, na
vianzio vingine vya kuwasha.
• Angalia mistari ya mafuta, tenki,kofia na sehemu za
kuunganisha mara nyingi kwa nyufa au mtiririko. Badilisha
ikiwa inahitajika.
• USIWASHE sigara wala moshi.
1. Hakikisha mtambo wa kupiga maji uko katika sakafu
tambarare.
2. Ng'arisha sehemu ya kifuniko cha kujazia mafuta na
kukiondoa
BRIGGSandSTRATTON.COM
4

Publicidad

Tabla de contenido

Solución de problemas

loading

Este manual también es adecuado para:

073051-00 wp3rs

Tabla de contenido