3. Kwa taratibu ongeza mafuta yasiyoongezwa kemikali
(A) katika tanki ya mafuta (B). Kuwa makini ili yasifurike.
Ili kuruhusu uvukizi wa mafuta, usijaze zaidi ya chini
mwa shingo ya tangi la mafuta.
4. Rudisha kifuniko na kuacha mafuta yaliyomwagika
kuvuzika kabla ya kuasha mtambo.
Mwinuko wa Juu
Katika sehemu za milimani zilizo juu ya mita 1524 (futi 5,000),
kiwango kidogo cha mafuta ya okteni 85 / 85 AKI (89 RON)
yanakubalika. Ili uendelee kutii utoaji moshi, marekebisho ya
mwinuko wa juu yanahitajika. Operesheni bila marekebisho
haya yatasababisha upungufu kwa utekelezaji, kuongezeka
kwa matumizi ya mafuta, na kuongezeka kwa uzalishaji
wa uchafu. Tazama Mwuzaji Aliyeidhinishwa wa Briggs
& Stratton kwa sehemu za mlimani kwa minajili ya taarifa
marekebisho haya. Operesheni ya injini katika sehemu za
milimani zilizo chini ya mita 762 (futi 2,500) pamoja na mkoba
wa sehemu za milima ya juu haipendekezwi.
Kusanya Na Kuunganisha Mabomba
Utahitaji kifaa kifuatacho ili kufunga mabomba katika
mtambo wa kupiga maji:
• kizungusha nati cha milimita 10
Unganisha Bomba la Kunyonya Katika
Pampu
Tumia bomba linalopatikana kwa maduka. Bomba la
kufyonza sharti lidhibitiwe na ukuta usiobonyea ama kifaa
kilichosokotwa. USITUMIE bomba ambalo kipenyo chake
cha ndani ni kidogo kuliko kipenyo cha pampu cha kufyonza.
1. Telezesha sijafu-mwiba juu ya bomba-mwiba. Pachika
kikuku cha mpira mwishoni mwa sijafu-mwiba.
Kielelezo
5
2. Funga sijafu-mwiba katika mfumo wa pampu kwa
kusokota kwa mzunguko wa saa hadi mfumo wa sijafu-
mwiba umakazika kimakinifu. Kielelezo
3. Telezesha bano la bomba juu ya mwisho wa bomba.
Telezesha bomba la kufyonza juu ya sijafu-mwiba. Kaza
bano la bomba kimakinifu ukitumia kizingusha nati cha
kiwangogezi cha milimita 10. Kielelezo
Unganisha bomba la kufyonza kwa kikapu cha
kuchujia Kielelezo
8
Telezesha bano la bomba juu ya bomba. Ambatanisha
mwisho wazi wa bomba la kufyonza kwa kichujio cha
bomba la sijafu-mwiba. Kaza bano la bomba kimakinifu
ukitumia kizingusha nati cha kiwangogezi cha milimita 10.
Unganisha Bomba La Kumwaga (Hiari)
Ikihitajika, tumia bomba linalopatikana madukani.
USITUMIE bomba ambalo kipenyo chake cha ndani ni
kidogo kuliko kipenyo cha pampu cha kufyonza.
1. Telezesha sijafu-mwiba juu ya bomba-mwiba. Pachika
kikuku cha mpira mwishoni mwa sijafu-mwiba.
2. Funga sijafu-mwiba katika mfumo wa pampu kwa
kusokota kwa mzunguko wa saa hadi mfumo wa sijafu-
mwiba ukazike kimakinifu. Kielelezo
3. Telezesha bano la bomba juu ya bomba la kumwaga.
Telezesha bomba la kumwaga juu ya sijafu-mwiba. Kaza
bano la bomba kimakinifu ukitumia kizingusha nati cha
kiwangogezi cha milimita 10. Kielelezo
Operesheni
Mahali Pa Kuweka Pampu Ya Maji
Kwa matokeo mazuri, weka pampu juu ya sakafu
tambarare, laini karibu iwezekanavyo na mahali pa
kufyonza maji kuzuia kuanguka. Dhibiti pampu ya
maji kuzuia kuanguka. Usitumie mabomba ambayo ni
marefu kupita kiasi.
ILANI Joto la ekzosi/mivuke laweza kuwasha maunzi
• Hakikisha kwamba uko mbali na pande zote za kioshaji
kwa presha kwa angaa mita 1.5 (5 ft.) pamoja na sehemu
ile ya juu.
Sumu Ya Kaboni Monoksidi
ILANI HATARI YA GESI YA SUMU. Ekzosi ya
unaweza kuwa hatarini mwa gezi ya monoksidi ya
kaboni. Ukianza kuhisi mgonjwa, kisuzi, au mnyonge
wakati unatumia bidhaa hii, nenda mahali penye hewa
safi MARA MOJA. Mtembelee daktari. Waweza pata
sumu ya kabon monoksidi.
• Tumia mtambo huu nje PEKEE na mbali na madirisha,
milango na matundu ili kupunguza hatari ya gesi
ya kaboni monoksidi kukusanya na kusababisha
uwezekano wa kuvutwa kwenye sehemu za makazi.
• Simika kamsa ya kaboni monoksidi inayotumia betri
au kamsa ya kaboni monoksidi ya plagi na betri ya
ziada kuambatana na maelekezo ya mtengenezaji.
6
Ving'ora vya moshi haviwezi kutambua gesi ya
monoksidi ya kaboni.
• USIENDESHEE mtambo huu ndani ya nyumba,
gereji, vyumba ya chini ya ardhi, ubati, vibanda, au
majengo mengine yaliyobanwa hata kama unatumia
7
viyoyozi ama kufungua milango na madirisha kwa
hewa. Monoksidi ya kaboni inaweza kukusanyika
haraka katika maeneo haya na ibakie kwa saa
kadhaa, hata baada ya kifaa hiki kuzimwa.
• WAKATI wote weka kifaa hiki kunakoelekea upepo na
kuelekeza ekzosi kinyume cha sehemu za makazi.
Ni nini "Kichwa"? Kielelezo
Kichwa kinahusu urefu wa safu ya maji ambayo
yanaweza kutolewa kwa utekelezaji wa pampu.
Kichwa cha Kufyonza (A) ni umbali wa wima baina ya
katikati ya pampu na uso wa maji upande wa kufyonza wa
pampu. Yaweza pia kuitwa "mwinuo wa ufyonzaji" Shinikizo
la anga la mpigo mmoja (14.5 psi) katika usawa wa bahari
huweka wakifu wa uinuaji kwa kichwa cha kufyonza chini
ya takriban Mita 8 (26 ft) kwa pampu yoyote.
9
Kilele cha Kumwaga (B) ni umbali wa wima baina ya
sehemu ya kipenyo cha pampu cha kumwagia na sehemu
ya kumwaga, ambayo ni ubapa wa kioevu kama pampu
10
imetumbukizwa ama inapiga maji hadi kina cha tangi.
ya kuwaka, majenzi ama kuharibu mtungi
wa mafuta, na kusababisha kifo au majeraha
mabaya.
injni huwa na monksidi ya kaboni, gesi ya
sumu inayoweza kukuua ndani ya dakika
chache. HUWEZI kuona, kuinusa, au kuionja.
Hata kama hunusi moshi wa kezosi, bado
Kielelezo
11
14
7