Utatuzi
Tatizo
Sababisho
Pampu kutopiga
1. Pampu haijawekwa maji.
maji ama kupiga
2. Bomba la kufyonza limefungika,
maji kidogo
wakati mtambo
unapotumika
3. Kichujio hakijazama kikamilifu.
4. Bomba la kufyonza linavuja hewa kwa
5. Kichujio kimeziba.
6. Kimo cha kilele ni kirefu sana ama kifupi sana.
7. Wenzo la kasi ya mtambo liko katika
Mtambo
1. Swichi ya "On/Off" imeelekezwa kwa "OFF" )0(.
haungurumi; hauna
2. Kizimi cha mafuta kimeelekezwa kwa OFF (0).
nguvu; unanguruma
3. Kisafisha hewa ni kichafu.
na kukacha;
4. Mafuta yameisha.
unazima kama
5. Petroli iliyoharibika au kuchanganyika na maji.
umewashwa ama
"kuwinda" au kusita.
6. Waya ya kiziba cheche haijaunganishwa
7. Kizibo cha cheche kibaya.
8. Kuna mafuta mengi katika hewa/
9. Kabureta haiko kwa laini yake.
Mafuta yameisha.
Injini inazimika
wakati
inaendeshwa.
Ubainishaji wa Kifaa
Modeli 073051
Ubainishaji wa Pampu ya Maji
Mduara wa Kipenyo cha Kumwaga na Kufyonza milimita
50 (2 in)
Kiwango cha kilele cha kufyonza * . . . . mita 8 (futi 26)
Kiwango cha kilele cha kumwaga* . . . mita 25 (futi 82)
Upeo wa Juu wa Kumwaga *. . .500 l/min (130 US gal/
dakika)
Ubainishaji wa Injini
Mjao ya Injini . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 163 cc (9.95 in 3 )
Mjao wa Oili. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 0.59 l (20 oz)
Vipuri Enevu
Chupa ya Oili ya Injini . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 100005E or 100007E
Chupa ya Oili Mbadala . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .100007W
Kidhibati cha Mafuta . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 992380 or 992381
Upimaji Wa Nguvu Ya Stima: Pato la nguvu binafsi kwa mtu binafsi mifano ya injini ya petroli ni kinachoitwa kwa mujibu wa SAE (Society of
vya magari Wahandisi) kificho J1940 Small Engine Power & Torque Upimaji Utaratibu, na ni lilipimwa kwa mujibu wa SAE J1995. Viwango vya
msongonyo hupatikana katika 2600 RPM kwa injini ambazo zina "rpm" zilizotajwa kwenye lebo na 3060 RPM kwa ajili ya ziingine zote; viwango
vya nguvu ya farasi hupatikana katika 3600 RPM. Vizingo vya nguvu jumla vinaweza kutazamwa kwa www.BRIGGSandSTRATTON.COM.
Matokeo ya nguvu yanachukuliwa na eksozi na kichujio cha hewa zikitumika ilhali nguvu jumla zinapatwa bila kuziongeza. Nishati ya jumla
iliyopo ya injini itakuwa juu kuliko nguvu halisi ya injini na inaathiriwa na, baadhi ya vitu vingine, hali za kawaida za mazingira ya uendeshaji na
utofauti kutoka injini moja hadi nyingine. Kulingana na mpangilio mpana wa bidhaa ambapo injini zimepangwa, injini ya petroli huenda isitoe
nguvu ya jumla iliyokadiriwa inapotumiwa katika kifaa fulani cha nguvu. Utofauti unatokana na mseto wa mambo yakiwemo, lakini si tu, mseto
wa viungo vya injini (kisafishaji cha hewa, kitoaji moshi, kuchaji, kupoa, kabyureta, pampu ya mafuta, nk), upungufu wa matumizi, hali bora za
undeshwaji (halijoto, hali ya unyevunyevu, uwepo wa milima), na utofauti wa injini-hadi-injini. Kutokana na upungufu wa kiasi ya utengenezaji,
Briggs & Stratton wanaweza kuibadilisha injini hii iliyo na nguvu nyingi zaidi.
* Pampu hii ya maji imekadiriwa kwa mujibu wa kiwangogezi wa Briggs & Stratton 621K.
10
kubonyea, kuharibika, ni refu sana ama
duara ya ndani ni ndogo sana.
kiunganishi.
sehemu ya "SLOW".
na kiziba cheche.
mchanganyiko wa mafuta ukisababisha hali
ya "kufurika".
Sahihisho
1. Jaza chumba cha pampu na maji na kuanzisha pampu.
2. Badilisha bomba la kufyonza wala la kumwaga.
3. Zamisha kichujio kilicho mwishoni mwa bomba la
kufyonza ndani ya maji kabisa.
4. Badilisha kipete cha mpira kama hakipo ama
kimeharibika. Kaza kiunganishi cha bomba na bano.
5. Toa uchafu kwenye kichujio.
6. Hamisha pampu/ama mabomba kubadilisha kimo.
7. Elekeza wenzo la kasi ya mtambo katika kiwango
cha "FAST".
1. Bofya swichi kwa hali ya ON (I) kuwaka.
2. Elekeza kizimi cha mafuta kwa "ON".
3. Safisha ama ubadilishe kisafisha hewa.
4. Subiri dakika mbili halafu ujaze mafuta.
5. Mwaga petroli kutoka kwa tanki na kabureta; jaza
na mafuta safi.
6. Unganisha waya ya kiziba cheche.
7. Badilisha kizibo cha cheche.
8. Subiri dakika 5 na kuwasha mtambo.
9. Wasiliana na kituo cha huduma kilichoidinishwa.
Subiri dakika mbili halafu ujaze mafuta.
Modeli 073051
Ubainishaji wa Pampu ya Maji
Mduara wa Kipenyo cha Kumwaga na Kufyonza milimita
76 (3 in)
Kiwango cha kilele cha kufyonza * . . . . mita 8 (futi 26)
Kiwango cha kilele cha kumwaga* . . . mita 25 (futi 82)
Upeo wa Juu wa Kumwaga *. . .900 l/min (240 US gal/
dakika)
Ubainishaji wa Injini
Mjao ya Injini . . . . . . . . . . . . . . . . . . 208 cc (12.69 in 3 )
Mjao wa Oili. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 0.59 l (20 oz)
BRIGGSandSTRATTON.COM