Briggs & Stratton 073052-00 WP2RS Manual De Instrucciones página 107

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • MX

Idiomas disponibles

  • MEXICANO, página 20
Briggs & Stratton inakubali, katika kipindi cha udhamini ulioelezwa hapa, itakarabati au badilisha, bila ya malipo, sehemu yoyote ilio na shida katika vifaa
au operesheni au zote. Bei ya kusafirisha bidhaa zilizotumwa ili zikarabatiwe au zibadilishwe kwa mujibu wa udhamini huu ni lazima mwenyewe agharamie.
Udhamini huu una madhubuti na iko halali kwa muda na masharti yaliyosemwa hapo chini. Kwa ajili ya huduma ya udhamini, tafuta muuzaji aliyeidhinishwa
katika ramani yetu iliyo BRIGGSandSTRATTON.COM Mnunuzi lazima awasiliane na muuzaji aliyethibitishwa, na kisha ampe muuzaji bidhaa kwa ajili ya
ukaguzi na upimaji.
Hakuna udhamini ingine ya haraka. Udhamini ulioashiriwa, pamoja na zile za uuzaji na uzima fulani kwa lengo fulani, zina upungufu wa muda
uliosemwa hapo chini, au kwa kiasi kilichoruhusiwa na sheria. Wajibu kwa uharibifu ulioletwa na shughuli au matokeo ya matumizi zimetengwa
kwa kiasi zinaruhusiwa na sheria. Baadhi ya majimbo au nchi haziruhusu upungufu unaoamua udhamini ulioashiriwa unakuwa halali kwa muda gani, na
baadhi ya majimbo au nchi haziruhusu ukwepaji au uzuiaji wa uharibifu ulioletwa na shughuli au matokeo ya matumizi, kwa hivyo uzuiaji na ukwepaji unaweza
kuwa hauko halali kwako. Udhamini huu unakupa haki maalum za kisheria na unaweza pia kuwa na haki nyingine ambayo inatofautiana kutoka jimbo moja hadi
nyingine au nchi moja hadi nyingine.**
** Katika Australia - Bidhaa zetu zinakuja na dhamana ambayo haiwezi kulengwa katika Sheria ya Watumizi wa Australia. Unastahiki kubadilishiwa au kurudishiwa
pesa kwa kasoro kubwa na fidia kwa hasara au uharbifu wowote wa kweli utakaojitokeza mbeleni. Una haki pia ya kutengenezewa au kubadilishiwa kama bidhaa
haziko na ubora unaokubalika na uharibifu hauleti hasara kubwa. Kwa huduma ya udhamini, tafuta muuzaji aliyethibitishwa na aliyekaribu na wewe katika ramani
yetu kwa tovuti ya BRIGGSandSTRATTON.COM, au piga simu 1300 274 447, au kwa barua pepe au barua kwa salesenquiries@briggsandstratton.com.au, Briggs
& Stratton Australia Pty Ltd, 1 Moorebank Avenue, NSW, Australia, 2170.
Kipindi cha udhamini huanza tarehe ya ununuzi ya duka la kwanza au biashara la kwanza. "Matumizi ya kibinafsi" inamaanisha matumizi ya nyumbani na mnunuzi
wa rejareja. "Matumizi ya kibiashara" inamaanisha matumizi mengine yote, pamoja na matumizi ya kibiashara, ya kuzalisha mapato au kwa madhumunia ya
kukodisha. Wakati bidhaa imetumika kibiashara, itachukuliwa kama bidhaa ya kibiashara ya bidhaa kwa ajili ya udhamini huu.
Weka risiti ya kuonyesha ulinunua. Kama huna ushahidi wa tarehe ulionunua bidhaa wakati utahitaji kutumia udhamini, tarehe bidhaa ilitengenezwa itatumika
kuamua kipindi cha udhamini. Usajili wa bidhaa hauitajiki katika kupokea huduma ya udhamini kwenye bidhaa za Briggs & Stratton.
Huduma ya Udhamini inapatikana tu kwa wauzaji waliothibitishwa wa Briggs & Stratton. Marekebisho ya udhamini hufanywa mara kwa mara, lakini wakati mwingine
maombi ya huduma ya udhamini yanaweza kuwa si sahihi. Udhamini huu unashughulikia kasoro tu katika vifaa au kazi. Haujumuishi hasara iliyosababishwa na
matumizi yasiyofaa au mabaya, ukarabati mbaya au urekebishaji, uchakaaji wa kawaida na uchanikaji, au kuchacha au mafuta yasiyothibitishwa .
Matumizi Mabaya na Dhuluma - Matumizi sahihi ya bidhaa hii yameelezwa katika Mwongozo wa fundi. Kutumia bidhaa katika njia ambayo haikuelezwa katika
Mwongozo wa Mwendeshaji au kutumia bidhaa baada ya kuwa imeharibika hakuta jumuishwa chini ya dhamana hii. Bima ya dhamana pia haitatolewa ikiwa
nambari ya mfululizo katika bidhaa imeondolewa au bidhaa hio imevunjwa au kubadilishwa kwa njia yoyote, au ikiwa bidhaa hio ina dalili ya matumizi mabaya kama
vile uharibifu wa athari ya hasara ya uharibifu wa maji/kemikali.
Ukarabati au Urekebishaji Mbaya- Bidhaa hii lazima ikarabatiwe kwa mujibu wa taratibu na ratiba zinazotolewa katika mwongozo wa fundi, na kuhudumiwa
au kurekebishwa kwa kutumia sehemu halisi za Briggs & Stratton. Uharibifu unaosababishwa na ukosefu wa ukarabati au matumizi ya sehemu zisizo halisi
haijazingatiwa katika udhamini huu.
Uchakavu wa Kawaida - Kama mitambo nyingi, bidhaa yako itakuwa na uchakavu hata kama inakarabatiwa kwa sahihi. Dhamana hii haidhamini urekebishaji
wakati wa matumizi ya kawaida yamezeesha kabisa muda wa kiungo au vifaa. Ukarabati na vipengele vya kuchakaa kama vile vichujio, mikanda, mabapa
ya kukatia, na pedi za breki (ispokuwa pedi za breki ya injini) havidhaminiwi na dhamana kutokana na tabia yake ya kuchakaa vyenyewe, ispokuwa chanzo
kikisababishwa na dosari katika nyenzo au ustadi.
Mafuta Yaliyooza au Hayadhibitishwa- Ili bidhaa hii ifanye kazi ipasavyo, inahitaji mafuta safi inayoendanisha na vigezo vilivoelezwa katika Mwongozo wa Fundi.
Uharibifu wa Injini au vifaa uliosababishwa na mafuta yaliyochacha au matumizi ya mafuta yasiyothibitishwa (kama vile mchanganyiko wa ethanol za E15 au E85)
haudhaminiwi na dhamana.
Zilizotengwa - Udhamini huu hauzingatii uharibifu kutokana na ajali, unyanyasaji, marekebisho, mabadiliko, huduma mbaya, kugandisha au kuzorota kutokana na
kemikali. Viambatanishi au vifuasi ambavyo havikuchuliwa kwa asili na bidhaa hio pia vimetolewa. Hakuna udhamini kwa vifaa vinavyotumika kwa nguvu ya msingi
badala ya nguvu ya kutumika au juu ya vifaa vya kutumika kuokoa maisha. Udhamini huu hauzingatii injini au vifaa vilivyotumika, badilishwa muundo, mitumba, au
za kujaribia. Dhamana hii pia haijumuishi ushindwaji unaotokana na nguvu za Mungu na nguvu nyingine matukio makubwa kinyume na udhibiti wa mtengenezaji.
SERA YA UDHAMINI WA BIDHAA ZA BRIGGS & STRATTON
UDHAMINI PUNGUFU
KIPINDI CHA UDHAMINI
Matumizi ya Kibinafsi
Miezi 12
KUHUSU UDHAMINI WAKO
Matumizi ya Kibiashara
Miezi 12
80010169_SW Durusiwa -
11

Publicidad

Tabla de contenido

Solución de problemas

loading

Este manual también es adecuado para:

073051-00 wp3rs

Tabla de contenido