Ishara za Kudhibiti Injini na Maana
Kasi ya Injini - HARAKA
Kasi ya Injini - SIMAMA
Kuwasha Injini
Choki IMEFUNGWA
Kifuniko cha Mafuta
Kizima Mafuta -
KIMEFUNGULIWA
Kiwango cha Mafuta -
Upeo
Usijaze Kupita Kiasi
Kufunga
Ugeuzaji Kidhibiti Injini
Injini ya kawaida ina kidhibiti injini ambacho si otomatiki. Ili kuendesha kidhibiti injini
kisicho otomatiki, weka kidhibiti injini kwa mbali, au geuza hadi kasi isiyobadilika.
Rejelea maagizo yanayofuatia.
KUMBUKA: Kasi ya injini ni lazima iwe sahihi kama ilivyobainishwa na maelezo ya
utendakazi ya mtengenezaji kifaa. Wasiliana na Mtoa Huduma wa Briggs & Stratton
Aliyeidhinishwa ili kupata usaidizi.
Kidhibiti Injini Kisicho Otomatiki
1.
Sogeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard
eneo linaloonyesha ZIMA.
2.
Ondoa springi (S, Kielelezo 3).
Kidhibiti Injini kwa Mbali kilicho na Kebo ya Waya Iliyosukwa
Kidhibiti injini kwa mbali kilicho na kebo ya waya iliyosukwa kinaweza kuwekwa kwa
mojawapo ya mielekeo miwili: Mwelekeo wa Kichwa cha Silinda au Mwelekeo wa
Mbele.
Mwelekeo wa Kichwa cha Silinda
1.
Tumia bisibisi ya milimita 10 na ikazue nati (P, Kielelezo 4) geuza nusu mzunguko
kwenye wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard
2.
Shikilia nati ya kuweka kebo (J, Kielelezo 5) ukitumia bisibisi ya milimita 10, na
ukazue skrubu (K).
3.
Weka waya wa kebo (L, Kielelezo 5) kupitia shimo lililo kwenye nati ya kuweka
kebo (J), na ukaze skrubu (K). Hakikisha kwamba waya wa kebo (L) si ndefu kuliko
nusu inchi (milimita 12.7) kutoka kwenye shimo.
4.
Legeza skrubu (I, Kielelezo 5). Funga vazi la kebo (N) chini ya klampu ya kebo (M),
na ukaze skrubu (I).
5.
Kagua utendakazi wa kidhibiti injini kwa mbali. Sogeza kidhibiti injini kwa mbali
kutoka eneo linaloonyesha polepole hadi haraka mara 2-3. Hakikisha kwamba
kidhibiti injini kwa mbali na waya wa kebo (L, Kielelezo 5) zinasoga kwa urahisi.
Rekebisha nati (P, Kielelezo 6) inavyohitajika for ajili ya eneo husika.
Mwelekeo wa Mbele
1.
Tumia bisibisi ya milimita 10 na ikazue nati (P, Kielelezo 3) geuza nusu mzunguko
kwenye wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard
linaloonyesha ZIMA.
2.
Shikilia nati ya kuweka kebo (J, Kielelezo 7) ukitumia bisibisi ya milimita 10, na
ukazue skrubu.
3.
Weka waya wa kebo (L, Kielelezo 7) kupitia shimo lililo kwenye nati ya kuweka
kebo (J) na ukaze skrubu (K). Hakikisha kwamba waya wa kebo (L) si ndefu kuliko
nusu inchi (milimita 12.7) kutoka kwenye shimo.
4.
Legeza skrubu (I, Kielelezo 7). Funga vazi la kebo (N) chini ya klampu (M) na ukaze
skrubu (I).
Kasi ya Injini - POLEPOLE
WASHA - ZIMA
Kuwasha Injini
Choki IMEFUNGULIWA
Kizima Mafuta -
KIMEFUNGWA
®
(A, Kielelezo 3) hadi kwenye
®
(A).
®
(A) hadi kwenye eneo
5.
Kagua utendakazi wa kidhibiti injini kwa mbali. Sogeza kidhibiti injini kwa mbali
kutoka eneo linaloonyesha polepole hadi haraka mara 2-3. Hakikisha kwamba
kidhibiti injini kwa mbali na kebo (L, 7) zinasoga kwa urahisi. Rekebisha nati (P,
Kielelezo 3) inavyohitajika for ajili ya eneo husika.
Kidhibiti Injini kwa Mbali kilicho na Kebo ya Waya Gumu
Kidhibiti injini kwa mbali kilicho na kebo ya waya gumu kinaweza kuwekwa kwa
mojawapo ya mielekeo minne: Mwelekeo wa Kichwa cha Silinda, Mwelekeo wa
Mbele, Mwelekeo wa Kushoto, au Mwelekeo wa Kulia.
Mwelekeo wa Kichwa cha Silinda
1.
Sogeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard
eneo linaloonyesha ZIMA.
2.
Ondoa springi (S, Kielelezo 8).
3.
Tumia bisibisi ya milimita 10 na ikazue nati (P, Kielelez 3) geuza nusu mzunguko
kwenye wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard
4.
Weka sehemu ya Z ya kebo ya waya gumu (Q, Kielelezo 8) kwenye mojawapo ya
shimo ndogo katika bellkranki (R).
5.
Legeza skrubu (I, Kielelezo 8). Funga vazi la kebo (N) chini ya klampu ya kebo (M),
na ukaze skrubu (I).
6.
Kagua utendakazi wa kidhibiti injini kwa mbali. Sogeza kidhibiti injini kutoka eneo
linaloonyesha polepole hadi haraka mara 2-3. Hakikisha kwamba kidhibiti injini kwa
mbali na waya wa kebo (L, Kielelezo 8) zinasoga kwa urahisi. Rekebisha nati (P,
Kielelezo 3) inavyohitajika for ajili ya eneo husika.
Mwelekeo wa Mbele
1.
Sogeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard
eneo linaloonyesha ZIMA.
2.
Ondoa springi (S, Kielelezo 9).
3.
Tumia bisibisi ya milimita 10 na ikazue nati (P, Kielelezo 3) geuza nusu
mzunguko kwenye wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard
linaloonyesha ZIMA.
4.
Weka sehemu ya Z ya kebo ya waya gumu (Q, Kielelezo 9) kwenye mojawapo ya
shimo ndogo katika bellkranki (R).
5.
Legeza skrubu (I, Kielelezo 9). Funga vazi la kebo (N) chini ya klampu (M) na ukaze
skrubu (I).
6.
Kagua utendakazi wa kidhibiti injini kwa mbali. Sogeza kidhibiti injini kwa
mbali kutoka eneo linaloonyesha polepole hadi haraka mara 2-3. Hakikisha
kwamba kidhibiti injini kwa mbali na kebo (L, Kielelezo 9) zinasoga kwa urahisi.
Rekebisha nati (P, Kielelezo 3) inavyohitajika for ajili ya eneo husika.
Mwelekeo wa Kushoto
1.
Sogeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard
eneo linaloonyesha ZIMA.
2.
Ondoa springi (S, Kielelezo 3).
3.
Tumia bisibisi ya milimita 10 na ikazue nati (P, Kielelezo 3) geuza nusu mzunguko
kwenye wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard
linaloonyesha ZIMA.
4.
Weka sehemu ya Z ya kebo ya waya gumu (L, Kielelezo 10) kwenye shimo ndogo
(S) lililo katika wenzo wa kidhibiti injini (A).
5.
Legeza skrubu (I, Kielelezo 10). Funga vazi la kebo (N) chini ya klampu (M) na
ukaze skrubu (I).
6.
Kagua utendakazi wa kidhibiti injini kwa mbali. Sogeza kidhibiti injini kwa
mbali kutoka eneo linaloonyesha polepole hadi haraka mara 2-3. Hakikisha
kwamba kidhibiti injini kwa mbali na kebo (L, Kielelezo 10) zinasoga kwa urahisi.
Rekebisha nati (P, Kielelezo 3) inavyohitajika for ajili ya eneo husika.
Mwelekeo wa Kulia
Ili kuweka kidhibiti injini kwa mbali kwenye mweleko wa kulia, bano la kuweka kebo (U,
Kielelezo 11) linahitajika. Rejelea sehemu ya Maelezo na Sehemu za Udumishaji ili
kujua nambari ya sehemu. Ili kunua bano la kuweka kebo, wasiliana na Mtoa Huduma
wa Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa.
1.
Sogeza wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard
eneo linaloonyesha ZIMA.
2.
Ondoa springi (S, Kielelezo 3).
3.
Tumia bisibisi ya milimita 10 na ikazue nati (P, Kielelezo 3) geuza nusu mzunguko
kwenye wenzo wa kidhibiti injini / TransportGuard
linaloonyesha ZIMA.
4.
Weka sehemu ya Z ya kebo ya waya gumu (L, Kielelezo 11) kwenye shimo ndogo
(S) lililo katika wenzo wa kidhibiti injini (A).
5.
Ondoa bolti (T, Kielelezo 11). Weka bano la kuweka kebo (U) kama ilivyoonyeshwa.
Weka bano la kuweka kebo (U) ukitumia bolti (T). Kaza bolti (T) hadi 30lb-in (3,4
Nm). Tazama sehemu ya Maelezo na Sehemu za Udumishaji.
®
(A, Kielelezo 3) hadi kwenye
®
.
®
(A, Kielelezo 3) hadi kwenye
®
hadi kwenye eneo
®
(A, Kielelezo 10) hadi kwenye
®
(A, 10) hadi kwenye eneo
®
(A, Kielelezo 11) hadi kwenye
®
(A, 11) hadi kwenye eneo
57