Vipengele na Vidhibiti
Vidhibiti vya Mtambo
Linganisha mfano (Kielelezo: 1, 2, 3) na injini yako ili kujifahamisha na eneo la vipengele
na vidhibiti mbalimbali.
A.
Nambari Tambulishi za Injini Modeli - Aina - Msimbo
B.
Kuzuba Cheche
C.
Kisafishaji Hewa (bapa au duaradufu)
D.
Kidhibiti cha Choki
E.
Kizima Fueli (iwapo kipo)
F.
Kishikilio cha Kamba ya Kianzishi
G.
Grili ya Kuingiza Hewa
H.
Kidhibiti cha Transfoma ndongo (iwapo kipo)
I.
Swichi ya Kusimamisha (iwapo ipo)
J.
Tangi na Kifuniko cha Fueli
K.
Kifaa kipana cha kuangalia mafuta (iwapo kipo)
L.
Kifaa Kifupi cha Kuangalia Mafuta, (iwapo kipo)
M.
Kuziba ya Kumwaga Mafuta
N.
Mjazo wa Hewa
O.
Mafla, Kilinda Mafla (iwapo vipo), Kishika Cheche (iwapo kipo)
P.
Ufunguo wa Usalama (modeli za kuanza za umeme)
Q.
Swichi ya KUWASHA/KUZIMA (modeli za kuanza za umeme)
R.
Kitengo cha Kupunguza Gia (iwapo kipo)
S.
Swichi ya Ufunguo (modeli za kuanza za umeme)
Ishara za Kudhibiti Injini na Maana
Ishara
Maana
Kasi ya injini - HARAKA
Kasi ya injini - SIMAMA
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGWA
Kifuniko cha Mafuta
Kizima fueli -
KILICHOFUNGULIWA
Kiwango cha mafuta - Upeo
Usijaze kupita kiasi
Oparesheni
Mapendekezo ya Mafuta
Kiwango cha Mafuta: Tazama Vipimo Maalum sehemu.
Ishara
Maana
Kasi ya injini - POLEPOLE
WASHA - ZIMA
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGULIWA
Kizima fueli -
KILICHOFUNGWA
Notisi
Injini hii ililetwa kutoka Briggs & Stratton bila mafuta. Watengenezaji au wauzaji vifaa
huenda waliongeza mafuta kwenye injini. Kabla ya kuwasha injini kwa mara ya kwanza,
hakikisha umekagua kiwango cha mafuta na umeongeza mafuta kulingana na maagizo
kwenye mwongozo huu. Iwapo utawasha injini bila mafuta, itaharibika hadi kushindwa
kukarabatiwa na hutafidiwa chini ya udhamini huu.
Tunapendekeza matumizi ya mafuta Yaliyoidhinishwa na Udhamini wa Briggs & Stratton
kwa utendakazi bora. Mafuta mengine yaliyo na sabuni ya kiwango cha juu yanakubalika
iwapo yamebainishwa kwa huduma ya SF, SG, SH, SJ au ya juu zaidi. Usitumie vitegemezi
maalum.
Halijoto ya nje inatambua mnato sahihi wa mafuta wa injini. Tumia chati kuteua mnato
bora wa masafa ya halijoto ya nje inayotarajiwa. Injini katika vifaa vingi vya nje huendeshwa
vizuri na mafuta ya Kisinthetiki ya 5W-30. Kwa vifaa vinavyoendeshwa katika halijoto ,
mafuta ya Kisinthetiki ya Vanguard™ 15W-50 hutoa ulinzi bora zaidi.
A
SAE 30 - Chini ya 40 °F (4 °C) matumizi ya SAE 30 yatasababisha ugumu wa
kuwaka.
B
10W-30 - Juu ya 80 °F (27 °C) matumizi ya 10W-30 yanaweza kusababisha
uongezekaji wa matumizi ya mafuta. Angalia kiwango cha mafuta mara kwa mara.
C
5W-30
D
Sinthetiki 5W-30
E
Vanguard™ Synthetic 15W-50
Angalia Kiwango cha Mafuta
Tazama Kelelezo: 4, 5
Kabla ya kuongeza au kuangalia mafuta
•
Hakikisha injini iko kwenye kiwango.
•
Safisha eneo la kujaza mafuta kutoka na uchafu wowote.
Kifuniko cha Fueli, iwapo kipo
1.
Ondoa kifuniko cha fueli (A, Kielelezo 4).
2.
Iwapo kiwango cha mafuta kiko chini, kwa utaratibu ongeza mafuta kwenye mjazo
wa mafuta wa mtambo (B, Kielelezo 4). Jaza hadi sehemu ya kufurika.
3.
Sakinisha upya na ukaze kifuniko cha fueli (A, Kielelezo 4).
Kifaa Kifupi cha Kuangalia Mafuta, iwapo kipo
1.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (C, Kielelezo 4) na upanguse kwa
kitambaa safi.
2.
Sakinisha kifaa cha kupima mafuta (C, Kielelezo 4). Usigeuze au kukaza.
3.
Ondoa kifaa cha kupima mafuta na ukague kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi cha
mafuta kiko juu ya kiashiria kilichojaa (D, Kielelezo 4) kwenye kifaa cha kuangalia
kiwango cha mafuta .
4.
Iwapo kiwango cha mafuta kiko chini, kwa utaratibu ongeza mafuta kwenye mjazo
wa mafuta wa mtambo (B, Kielelezo 4). Jaza hadi sehemu ya kufurika.
5.
Sakinisha upya na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (C, Kielelezo 4).
Kifaa kipana cha kuangalia mafuta, iwapo kipo
1.
Ondoa kifaa cha kuangalia mafuta (A, Kielelezo 5) na ukipanguse kwa kitambaa safi.
2.
Sakinisha na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 5).
3.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta na uangalie kiwango cha mafuta.
Kiwango sahihi cha mafuta kiko juu ya kiashiria kilichojaa kwenye kifaa cha kuangalia
kiwango cha mafuta (B, Kielelezo 5) kwenye kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta.
47