Hakimili ya © Briggs & Stratton Corporation, Milwaukee, WI, Marekani. Haki zote
zimehifadhi.
Mwongozo huu una maelezo ya usalama kukufahamisha juu ya madhara na hatari
zinazohusiana na injini na jinsi ya kuyazuia. Pia una maelekezo kwa matumizi bora na
utunzaji wa injini. Kwa sababu Shirika la Briggs & Stratton haijui hususan injini hii itaendesha
kifaa kipi, ni muhimu kuwa usome na uelewe maelekezo haya na mifano ya kifaa. Hifadhi
maelekezo haya asili kwa marejeleo ya siku zijazo.
Kumbuka: Vielelezo na mifano kwenye mwongozo huu vimetolewa kwa marejeleo tu na
vinaweza kutofautiana na modeli yako maalum. Wasiliana na mtoa huduma wako iwapo
una maswali.
Kwa ubadilishaji wa sehemu au usaidizi wa kiufundi, rekodi hapa chini modeli, aina, na
nambari za msimbo za injini pamoja na tarehe ya ununuzi. Nambari hizi zinapatikana
kwenye injini yako (tazama sehemu ya Vipengele na Udhibiti ).
Tarehe ya Ununuzi
Modeli ya Injini - Aina - Kupunguza
Nambari Tambulishi ya Injini
Tafuta mwambaa upau wa 2D ulio kwenye
baadhi ya injini. Inapotazamwa kwa kifaa
kinachowezesha 2d, msimbo ulileta wavuti
wetu ambapo unaweza kufikai maelezo ya
auni kwa bidhaa hizi. Viwango vya data
vinatekelezwa. Baadhi ya nchi huenda zisiwe
na maelezo ya auni ya mtandaoni.
Maelezo ya Mawasiliano ya Ofisi
ya Ulaya
Ukiwa na maswali kuhusiana na mafukizo ya Ulaya, tafadhali wasiliana na ofisi yetu ya
Ulaya kupitia:
Max-Born-Straße 2, 68519 Viernheim, Germany.
Utumiaji tena wa Taarifa
Ufungaji wote, mafuta yaliyotumika, na betri zote zinapaswa
kutumiwa upya kulinagana na kanuni za serikali
zinazotekelezwa.
Usalama wa Opareta
Ishara ya Tahadhari ya Usalama na
Maneno ya Ishara
Ishara ya tahadhari ya usalama (
hatari zinazoweza kusababisha jeraha la kibinafsi. Neno la ishara (HATARI, ONYO, au
TAHADHARI) linatumika pamoja na alama ya ishara ili kuonyesha uwezekano wa
kujeruhiwa na ubaya wa jeraha hilo. Aidha, alama ya hatari inaweza kutumika kuwakilisha
aina ya hatari.
HATARI inaonyesha hatari ambayo, ikiwa haitaepukwa, itasababisha kifo au
majeraha mabaya..
ONYO inaonyesha hatari ambayo, ikiwa haitaepukwa, inaweza kusababisha kifo
au majeraha mabaya.
TAHADHARI inaonyesha hatari ambayo, ikiwa haitaepukwa, inaweza kusababisha
jeraha ndogo au wastani.
ILANI inaonyesha hali ambayo inaweza kusababisha uharibifu kwenye bidhaa.
46
) inatumiwa kutambua taarifa za kiusalama kuhusu
Ishara na Maana ya Madhara
Ishara
Maana
Maelezo ya usalama
kuhusu madhara ambayo
yanaweza kutokea katika
majeraha ya kibinafsi.
Madhara ya moto
Madhara ya mshtuko
Madhara ya maeneo moto
Madhara ya kifaa
kilichofutwa - Vaa vilinda
macho.
Madhara ya jamidi
Madhara ya ukataji wa
viungo - sehemu
zinazosonga
Madhara ya majimaji yaliyo
moto
Ujumbe wa Usalama
Onyo
Bidhaa hii inaweza kukuweka hatarini mwa kemikali ikiwemo moshi wa injini ya petroli,
ambao unafahamika kusababisha saratani katika Jimbo la California, na kaboni
monoksidi, ambayo inafahamika kusababisha kasoro za kuzaliwa au madhara ya uzazi
katika Jimbo la California. Ili kupata maelezo zaidi nenda kwenye
www.P65Warnings.ca.gov.
Onyo
Injini za Briggs & Stratton hazijaundwa kuzalisha nguvu za umeme au kuendesha: vijigari
vya kufurahia; vijigari vya kuendesha; vya watoto burudani, au magari ya barabara ya
aina yote (ATVs); pikipiki; gari la kuendeshea juu ya maji; bidhaa za ndege; au magari
yaliyotumiwa katika matukio ya mashindano yasiyowekewa vikwazo na Briggs & Stratton.
Kwa maelezo kuhusu bidhaa za mashindano ya uendeshaji magari, tazama
www.briggsracing.com. Kwa matumizi pamoja na vifaa na ATV za upande kwa upande,
tafadhali wasiliana na Kituo cha Matumizi ya Injini cha Briggs & Stratton, 1-866-927-
3349. Utumizi mbaya wa injini unaweza kusababaisha majeraha mabaya au kifo.
Onyo
Mafuta na mvuke wake yanaweza kuwaka moto na kulipuka kwa haraka sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha mabaya ya kuchomeka au kifo.
Wakati wa Kuongeza Mafuta
•
Zima injini na uwache injini ipoe kwa angalau dakika 2 kabla ya kuondoa kifuniko
cha mafuta.
•
Jaza tangi la mafuta nje au katika eneo lenye hewa nyingi safi.
Ishara
Maana
Soma na uelewe Mwongozo wa
Operator's kabla ya kuendesha
na kushughulikia kitengo.
Madhara ya mlipuko
Madhara ya mafushi ya sumu
Madhara ya kelele - Ulinzi wa
masikio unapendekezwa kwa
matumizi ya muda mrefu.
Madhara ya mlipuko
Madhara kurudi nyuma kwa
haraka
Madhara ya Kemikali
Kupiga kutu
VanguardEngines.com