•
Ni ukiukaji wa Msimbo wa Rasilimali wa Umma wa California, Sehemu ya 4442,
kutumia au kuendesha injini katika eneo linazungukwa na msitu, lililozungukwa na
brashi, au lililo na nyasi isipokuwa mfumo wa eneo la kutolea moshi una kishika
cheche, kama ilivyofafanuliwa kwenye Sehemu ya 4442, iliyodumishwa kwenye
mpangilio wenye ufanisi wa kufanya kazi. Mamlaka mengine ya Majimbo au shirikisho
yanaweza kuwa sheria sawa. Wasiliana na mtengenezaji wa kifaa asili, muuzaji wa
rejareja, au mtoa huduma ili kupata kishika cheche kilichobuniwa kwa mfumo wa
eneo la kutolea moshi uliosakinishwa kwenye injini hii.
Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye mafla na eneo la silinda. Kagua mafla kwa
nyufa, kutia kutu, au uharibifu mwingine. Ondoa kifaa cha kusonga au kishika cheche,
iwapo kipo, na ukague kwa uharibifu au uzuiaji wa kaboni. Iwapo uaribifu utapatikana,
sakinisha sehemu za ubadilishaji kabla ya kuendesha.
Onyo
Sehemu za ubadilishaji lazima ziwe sawa na zilizosakinishwa katika eneo sawa kama
sehemu asili. Sehemu zingine huenda zisitekeleze vilevile, zinaweza kuharibu kitengo,
na inaweza kusababisha majeraha.
Badilisha Mafuta ya Injini
Tazama Kelelezo: 12, 13, 14
Mafuta yaliyotumiwa ni bidhaa taka yenye madhara na lazima itupwe vizuri. Usitupe pamoja
na taka ya nyumbani. Wasiliana na mamlaka yako ya ndani, kituo cha usaidizi au mtoa
huduma kwa utupaji/kutumia upya salama kwa bidhaa.
Ondoa Mafuta
1.
Injini ikiwa bado ina joto, tenganisha waya ya kuziba cheche na uihifadhi mbali na
kuziba cheche (E) (D, Kielelezo 12).
2.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (F, Kielelezo 13).
3.
Ondoa kuziba ya kutoa mafuta (F, Kielelezo 14). Weka mafuta kwenye kontena
iliyoidhinishwa.
4.
Baada ya mafuta kutolewa, sakinisha na ukaze kuziba ya kutoa mafuta (F, Kielelezo
14).
Badilisha Kichujio cha Mafuta, iwapo kipo
Baadhi ya modeli zina kichujio cha mafuta. Kwa vipindi vya ubadilishaji, tazama Ratiba
ya Udumishaji.
1.
Toa mafuta kutoka kwenye injini. Tazama eneo la Kuondoa Mafuta .
2.
Ondoa kichujio cha mafuta (G, Kielelezo 14) na ukitupe vizuri.
3.
Kabla hujasakinisha kichujio kipya cha mafuta, lainisha kiasi kwa kifaa cha kichujio
cha mafuta kwa mafuta freshi na safi.
4.
Sakinisha kichujio cha mafuta kwa mkono hadi kifaa kisgusane na adapta ya kichujio
cha mafuta, kisha kaza kichujuio cha mafuta kwa mizunguko 1/2 hadi 3/4.
5.
Ongeza mafuta. Tazama sehemu Ongeza Mafuta .
6.
Washa na uendeshe injini. Wakati injini inachemka, angali uvujaji wa mafuta.
7.
Zima injini na uangalie kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi cha mafuta kiko juu ya
kiashiria kilichojaa (B, Kielelezo 13) kwenye kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta.
Ongeza Mafuta
•
Hakikisha kuwa mtambo uko katika kiwango.
•
Safisha eneo la kujaza mafuta kutokana na uchafu wowote.
•
Tazama Vipimo katika eneo la kiwango cha mafuta.
1.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 13) na upanguse kwa
kitambaa safi.
2.
Polepole weka mafuta kwenye eneo la kuweka mafuta la injini (C, Kielelezo 13).
Usijaze kupita kiasi. Baada ya kuongeza mafuta, subiri dakika moja na kisha angalia
kiwango cha mafuta.
3.
Sakinisha na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 13).
4.
Ondoa kifaa cha kupima mafuta na ukague kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi cha
mafuta kiko juu ya kiashiria kilichojaa (B, Kielelezo 13) kwenye kifaa cha kuangalia
kiwango cha mafuta.
5.
Sakinisha upya na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 13).
6.
Unganisha waya ya kuziba cheche kwenye kuziba cheche (E), (D, Kielelezo 12).
52
Shughulikia Kichuja Hewa
Tazama Kelelezo: 15, 16
Onyo
Fueli na mvuke wake unawaka na kulipuka hara sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha kuchomeka vikali au kifo.
•
Kamwe usiwashe na kuendesha wakati uunganishaji wa kisafisha hewa (iwapo kipo)
au kichuja hewa (iwapo kipo) kimeondolewa.
Notisi
Usitumie hewa au majimaji yaliyoshinikizwa kusafisha kichujio. Hewa
iliyoshinikizwa inaweza kuharibu kichujio na majimaji yatayeyusha kichujio.
Tazama Ratiba ya Udumishaji wa mahitaji ya huduma.
1.
Modeli bila Tanki la Mafuta: Fungua bizimu (A, Kielelezo 15) na uondoe kifuniko
(B).
2.
Modeli bila Tanki la Mafuta: Ondoa bizimu (C, Kielelezo 16) na kifuniko (B).
3.
Ondoa mkanda (D, Kielelezo 15, 16) na kishikiliaji (E).
4.
Ondoa kichujio cha hewa (F, Kielelezo 15, 16).
5.
Ondoa kisafishaji cha mwanzo (G, Kielelezo 15, 16), iwapo kipo, kutoka kwenye
kichujio cha hewa (F).
6.
Ili kulegeza uchafu, kwa utaratibu gonga kichujio (F, Kielelezo 15, 16) kwenye eneo
gumu. Iwapo kichujio cha hewa ni kichafu kupita kiasi, badilisha kwa kichujio kipya
cha hewa
7.
Osha kisafishaji cha mwanzo (G, Kielelezo 15, 16) kwenye sabuni oevu na maji.
Ruhusu kisafishaji cha mwanzo kukauka. Usiweke mafuta kwenye kisafishaji cha
mwanzo.
8.
Kusanya kisafishaji cha mwanzo kilichokauka (G, Kielelezo 15, 16), ikiwa kipo,
kwenye kichujio cha hewa (F).
9.
Sakinisha kichujio cha hewa (F, Kielelezo 15, 16) na kuweka salama kwa kishikiliaji
(E) na mkanda (D).
10.
Sakinisha na uweke salama kifuniko (B, Kielelezo 15, 16).
Fanyia huduma Mfumo wa Mafuta
Tazama Kielelezo: 17
Onyo
Mafuta na mvuke wake unaweza kuwaka moto na kulipuka kwa haraka sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha mabaya ya kuchomeka au kifo.
•
Weka mafuta mbali na spaki, moto ulio wazi, taa za gesi, joto, na vyanzo vingine
vya mwako.
•
Kagua njia za mafuta, tangi, kifuniko na sehemu nyingine mara kwa mara ili uone
kama kuna nyufa na uvujaji. Badilisha kama itahitajika.
•
Kabla ya kusafisha au kubadilisha kichujio cha mafuta, mimina mafuta kutoka kwa
tangi ya mafuta au ufunge vali ya kuzuia mafuta.
•
Mafuta yakimwagika, subiri mpaka pale ambapo yatavukiza kabla ya kuwasha injini.
•
Sehemu za ubadilishaji lazima ziwe sawa na zilizosakinishwa kwa namna sawa na
sehemu asili.
Kichujio cha Mafuta, iwapo kipo
1.
Kabla ya kubadilisha kichujio cha mafuta (A, Kielelezo 17), iwapo kipo, mimina mafuta
kutoka kwa tangi la mafutai au funga vali ya kuzuia mafuta . La sivyo, mafuta
yanaweza kuvuja na kusababisha moto au mlipuko.
2.
Tumia koleo kubana vichupo (B, Kielelezo 17) kwenye vibanio (C), ) kisha telezesha
vibanio kutoka kwenye kichujio cha fueli (A). Zungusha na uvute njia za mfuta (D)
kutoka kwenye kichujio cha mafuta.
3.
Kagua njia za mfuta (D, Kielelezo 17)ili uone kamakuna nyufa au uvujaji. Badilisha
kama itahitajika.
4.
Badilisha kichujio cha mafuta (A, Kielelezo 17) kwa kichujio halisi cha kubadilisha
sehemu.
5.
Linda njia za mfuta (D, Kielelezo 17) kwa vibanio (C) kama inavyoonyeshwa.
VanguardEngines.com