ONYO! Eksozi ya injini ina kaboni monoksidi, gesi
ya sumu ambayo inaweza kukuua kwa dakika
chache. Hauwezi kuinusa, kuiona, wala kuionja.
Hata kama huwezi kunusa mafukizo yanayotolewa,
bado unaweza kupumua gesi ya monoksidi ya kaboni.
• Kebo ndefu zinazoelekea moja kwa moja hadi ndani ya
nyumba zinaongeza hatari kwako ya sumu ya kaboni
monoksidi kupitia mianya.
• Iwapo kebo ndefu inayoelekea moja kwa moja hadi
ndani ya nyumba inatumika kuendesha vifaa vya umeme
vilivyo ndani ya nyumba, mwendeshaji anatambua
kwamba hili linaongeza hatari ya sumu ya CO kwa watu
walio ndani ya nyumba na anawajibikia hatari hiyo.
4. Weka swichi ya ubadilishaji isiyo otomatiki punde
iwezekanavyo iwapo jenereta itatumiwa kurejesha
nishati nyumbani.
Plagi za Volti 230 za AC, Amp 16 Kielelezo
Tumia plagi (Q) ili kuendesha vifaa vya umeme vya Volti
230 za AC, msururu mmoja, 50 Hz vinavyohitaji hadi wati
3,680 (kW 3.68) katika umeme wa Amp 16.
ONYO! Volti za jenereta zinaweza
kusababisha mshtuko wa umeme au
kuchomeka kunakoweza kusababisha
kifo au majeraha mbaya.
• Usiguze nyaya au plagi zilizo wazi.
• Usitumie jenereta yenye nyaya za umeme ambazo
zimechakaa, kuchubuka, wazi au vinginevyo zilizoharibika.
• Usitumie jenereta kwenye mvua au wakati kuna
unyevunyevu.
• Usishike jenereta au nyaya za umeme ukiwa
umesimama ndani ya maji, ukiwa miguu mitupu ama
mikono na miguu ikiwa na maji.
• Usiruhusu watu ambao hawajahitimu au watoto
kuendesha au kuhudumia jenereta.
• Weka watoto mahali salama mbali na jenereta.
Plagi za Volti 12 za DC Kielelezo
Umeme wa upeo unaopatikana kwenye plagi ya Volti 12
(N) ni Wati 60 (Amp 5). Kikata mkondo cha DC kinalinda
plagi hii kutokana na matumizi kupita kiasi. Matumizi
kupita kiasi yakitokea, kikata mkondo kitazima (kitufe cha
kubonyezwa kitachomoza nje). Subiri dakika chache na
ubonyeze kitufe ndani ili kuweka upya kikata mkondo.
Vituo vya USB vya Volti 5 za DC
Umeme wa upeo unaopatikana kwenye vituo vya USB (T)
ni Amp 2.1 kwa Volti 5. Kipenyo cha USB kinakuruhusu
kuchaji chombo chochote kinachotumia USB ukitumia
waya ya kuchaji ya USB (haijajumuishwa na kifaa).
ILANI Ili kupata matokeo bora zaidi unapochaji vifaa
vya Apple, tumia kituo cha USB cha chini.
ILANI Ya kuchaji ITE (Kifaa cha Teknolojia ya Maelezo)
pekee.
Utumizi wa Nishati
Kifuatiliaji utumizi wa nishati kinaonyesha asilimia ya
utumizi jumla wa jenereta kwa kutumia taa za LED. Taa
ya kwanza ya kijani inaashiria jenereta inafanya kazi
kawaida au inazalisha zaidi ya 5% ya nishati inayohitajika.
Taa ya nne ya kijani inawaka baada ya 50% ya nishati
inayohitajika kufikiwa. Taa ya mwisho ya manjano
inawaka baada ya 100% ya nishati inayohitajika kufikiwa.
Kiashirio cha Uzalishaji
Taa ya kijani ya kiashiria inawaka wakati jenereta inafanya
kazi kawiada. Inaashiria kwamba jenereta inazalisha
umeme na kupokeza plagi. Pia itaanza kumweka mwangaza
mwekundu ukianza kutumia jenereta kupita kiasi.
8
King'ora cha Matumizi Kupita Kiasi
Taa nyekundu ya kiashirio inawaka na kukata umeme
kwa plagi ukitumia kupita kiasi. Taa ya kijani ya kiashirio
pia itazima. Ikiwa jenereta ilitumika kupita kiasi, ni
lazima uzime na uondoe vipengee vyote vya kiumeme,
ubonyeze Kitufe Kikuu cha Uwekaji
kwenye paneli ya vidhiti vya jenereta na kisha urejeshe
vipengee vya kiumeme kimoja baada ya kingine ili
kuendelea katika matumizi ya kawaida.
Mfumo wa Kuzima Kaboni Monoksidi (CO)
Kielelezo
Mfumo huu unazima injini kiotomatiki wakati viwango
hatari vya kaboni monoksidi vinakusanyika karibu na
jenereta au hitilafi inatokea kwenye mfumo wa kuzima
CO. Baada ya kuzimwa, taa ya kiashirio (S) itamweka
1
kwa angalau dakika 5 kulingana na chati iliyo hapa chini.
Mfumo wa kuzima CO HAUCHUKUI nafasi ya vingo'ra
vya kaboni monoksidi. Weka ving'ora vya kaboni
monoksidi vinavyotumia betri ndani ya nyumba yako.
Usiendeshe jenereta katika maeneo yaliyofungwa.
1
Kielelezo
1
*Taa ya buluu itamweka kwa sekunde tano jenereta
inapoguruma ili kuonyesha kwamba mfumo wa kufungia CO
unafanya kazi vizuri.
Hatua ya 5: Kuzima Jenereta
1
Rangi/Mtindo Maelezo
Nyekundu
Kaboni monoksidi imekusanyika
karibu na jenereta. Hamisha jenereta
•• ••
hadi eneo wazi, nje mita 6.1 mbali
na maeneo yenye watu au wanyama
huku ekzosi ikielekezwa mbali.
Kuzima otomatiki ni onyesho kwamba
jenereta haikuwa imewekwa mahali
mwafaka. Fungulia hewa (k.m. fungua
madirisha na milango) kabla ya watu
au wanyama kuingia.
Ukianza kuhisi mgonjwa,
kizunguzungu, mchovu, au ving'ora
vya kaboni monoksidi vikilia wakati
unatumia bidhaa hii, nende mahali
penye hewa safi mara moja. Wasiliana
na watoa huduma za dharura. Huenda
ukawa umeathiriwa na sumu ya kaboni
monoksidi.
Buluu
Hitilafu imetokea kwenye mfumo wa
kufungia CO*.
• • •
Tembelea muuzaji huduma
aliyeidhinishwa wa Briggs & Stratton.
1. Zima na uondoe vifaa vyote vinavyotumia umeme
kutoka kwenye plagi za paneli ya jenereta. Usiwahi
zima injini huku vifaa vinavyotumia umeme vikiwa
havijaondolewa na vimewaka.
2. Acha injini iendelee kunguruma bila vifaa
vinavyotumia umeme kwa dakika moja ili kuimarisha
hali joto la ndani ya injini na jenereta.
3. Bonyeza kitufe kimoja kwenye kidude cha kuwasha
kwa mbali (3) au ubonyeze kitufe cha washa/zima
(1, Z) kwenye jenereta.
Kielelezo
Upya (Y)
Kielelezo
BRIGGSandSTRATTON.COM
1
1 3