Briggs & Stratton P2200 Manual Del Usuario página 209

Ocultar thumbs Ver también para P2200:
Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • MX

Idiomas disponibles

  • MEXICANO, página 60
Karabati Kiziba Cheche Mchoro
Kubadilisha kiziba cheche kutauwezesha mtambo wako
kuwaka haraka na kufanya kazi barabara.
1. Kuondoa kifuniko cha juu cha marekebisho.
2. Safisha sehemu iliyo na kiziba cheche na kutoa
kifuko cha kiziba cheche.
3. Toa kiziba cheche na kukikagua.
4. Badilisha kiziba cheche kama elektrodi
zimegubikwa, zimeungua ama kaulo imevunjika.
Badilisha na kiziba cheche kilichopendekezwa
pekee. Tazama Mapendekezo.
5. Angalia pengo la elektrodi ukitumia kipimi na
usawazishe pengo cha kiziba cheche kwa kiwango
kilichopendekezwa (Tazama Mapendekezo).
6. Rudisha kiziba cheche na ukaze kabisa. Rudisha
kifuko cha kiziba cheche.
7. Rudisha kifuniko cha juu cha marekebisho.
Kagua Kipunguza Kelele na Kizimio cha Spaki
12 13
Mchoro
Kipunguza kelele cha ekzosi kina skrini ya kizimio cha
spaki. Kagua kipunguza kelele kwa nyufa, kutu, na
uharibifu mwingine. Kagua skrini ya kizimio cha spaki kwa
uharibifu na uzibaji wa kaboni. Kisafishe ikiwa kimezibwa
na kaboni ukitumia brashi na sabuni au ukibadilishe.
ONYO! Kugusa sehemu ya kipunguza kelele
kunaweza kusababisha majeraha mabaya.
• Zingatia onyo zilizo kwenye jenereta.
• Usiguse sehemu moto.
Safisha na ukague kizimio cha spaki ifuatavyo:
1. Kuondoa gadi ya kipunguza kelele, ondoa skrubu
nne zinazounganisha gadi kwenye jenereta.
2. Ondoa skrubu inayounganisha skrubu ya kizimio
kwenye kipunguza kelele. Ondoa skrini ya kizimio
cha spaki.
3. Kagua skrini na uibadilishe ikiwa imepasuka,
imetoboka au imeharibika. USITUMIE skrini mbovu.
Ikiwa skrini haijaharibika, isafishe ukitumia brashi.
4. Funga skrini kwenye kipunguza kelele. Funga gadi
ya kipunguza kelele.
Kagua Pengo la Wari
Ukaguzi wa daima wa pengo la wali na marekebisho
huboresha utenda kazi na kurefusha maisha ya injini.
Utaratibu huu hauwezi kufanyika bila ya kufungua
injini nusu na matumizi ya zana maalum. Kwa sababu
hiyo tunapendekeza uwe na mhudumu wa Briggs &
Stratton aliyeidhinishwa aangalie na kurekebisha wari na
kupendekeza vipindi vya kurekebisha (Tazama Ratiba ya
Marekebisho).
Uhifadhi
1
10 11
Katika kuhifadhi mtambo huu kwa zaidi ya siku30, tumia
maelekezo ili kuiandaa kwa uhifadhi.
Badilisha Oili ya Mtambo
Wakati ingali na joto, toa mafuta kwa kifuniko cha
fitokombo. Jaza na oili iliyopendekezwa. Tazama
Kubadilisha Oili ya Injini.
Linda Mfumo wa Mafuta
Mafuta inaweza kuoza wakati imehifadhiwa kwa zaidi
ya siku 30. Mafuta yaliyooza husababisha asidi na
fizi kukusanyika katika mfumo wa mafuta au kwenye
sehemu muhimu za kabureta.
Hakuna haja ya kumwaga petroli kutoka injini kama
kiimarishaji cha mafuta ni kinaongezwa kwa mujibu
wa maelekezo. Washia mtambo nje kwa dakika 2 ili
kusambaza kidhibiti katika mfumo wa kuhifadhi mafuta.
Kama petroli katika injini haijawahi kutibiwa na
kiimarishaji cha mafuta, ni lazima imwagwe katika
kontena iliyoidhinishwa. Acha mtambo ugurumie nje hadi
uzime kwa ukosefu wa mafuta. Matumizi ya kiimarishaji
cha mafuta kwenye kontena ya kuhifadhi inapendekezwa
kwa ajili ya kudumisha usafi.
mlipuko na kusababisha kifo au majeraha makubwa.
• Unapohifadhi mafuta ama kifaa kikiwa na mafuta
• Unapotoa mafuta kutoka kwa jereta, zima injini na
• Legeza kifuniko polepole kupunguza shinikizo katika
• Tolea mafuta nje ya makazi.
• Weka mafuta mbali na cheche, moto ulio wazi, taa za
Hifadhi jenereta, katika sehemu ilyo kavu na kufunika na
kinga nzuri ambayo haitasitiri unyevu.
• Usiweke kifuniko cha hifadhi juu ya jenereta ilyo moto.
• Wacha vifaa vipoe kwa muda wa kutosha kabla ya
ONYO! Mafuta na mivuke yake
yanaweza kuwaka na kulipuka hivyo
yanaweza kuchoma, washa moto au
kwa mtungi, weka mbali na tanuri, majiko, hita za
maji, vikausha nguo au vifaa vingine ambavyo vina
taa ya gesi au chanzo kingine cha moto kwa sababu
vinaweza kuwasha mivuke ya mafuta.
uache ipoe kwa angalau dakika 2 kabla ya kufunua.
mtungi.
gesi, joto, na vyanzo vingine vya moto.
ONYO! Vifuniko za hifadhi zinaweza
kusababisha moto unaoweza kuleta kifo au
majeraha makubwa.
kuweka kifuniko juu yake.
9

Publicidad

Tabla de contenido

Solución de problemas

loading

Este manual también es adecuado para:

030698-00030700-00

Tabla de contenido