Alama
Simama
Hatari ya moto
Hatari ya mlipuko
Hatari ya mshtuko
Hatari ya moshi wenye sumu
Sehemu zinazosonga
Vaa kinga ya macho.
Kemikali hatari
Hatari ya maeneo moto
Hatari ya kukatwa kiungo cha mwili
Hatari ya vitu vinavyorushwa
Maana
Alama
Kaa mbali
Weka mbali na watoto
Hatari ya kubingirika
Hatari ya kukatwa kiungo cha mwili
Ishara ya Tahadhari ya Usalama na
Maneno ya Ishara
Alama ya tahadhari ya kiusalama ya
maelezo ya usalama kuhusu hatari zinazoweza kusababisha
jeraha la kibinafsi. Neno la ishara (HATARI, ONYO,
au TAHADHARI) linatumika pamoja na alama ya ishara ili
kuonyesha uwezekano wa kujeruhiwa na ubaya wa jeraha
hilo. Kwa kuongezea, alama ya hatari inaweza kutumika
kuwakilisha aina ya hatari.
HATARI inaonyesha hatari ambayo,
isipoepukwa, itasababisha kifo au jeraha mbaya sana.
ONYO inaonyesha hatari ambayo,
isipoepukwa, inaweza kusababisha kifo au jeraha mbaya
sana.
TAHADHARI inaonyesha hatari ambayo,
isipoepukwa, inaweza kusababisha jeraha dogo au wastani.
ILANI inaonyesha hatua ambayo inaweza kusababisha
uharibifu kwenye bidhaa.
Lebo za Usalama
Kabla ya kuendesha mashine yako, soma na uelewe lebo
za usalama. Linganisha Kielelezo 2 na jedwali lifuatalo.
Tahadhari na maonyo ni kwa ajili ya usalama wako. Ili uepuke
majeraha ya mwili au mashine kuharibika, elewa na kutii lebo
zote za usalama.
Lebo zozote za usalama zikichakaa au kuharibika, na
haziwezi kusomeka, agiza lebo za kubadilishia kutoka kwa
muuzaji aliye karibu nawe.
Maana
inatambulisha
65