Kutatua Matatizo
Kutatua Matatizo ya Kifaa
TATIZO
Injini haizunguki au haiwaki.
Injini inaanza kwa tabu au inafanya kazi duni.
Injini haiwaki ipasavyo.
Oili nyingi mno.
Ekzosi ya injini ni nyeusi.
Injini inafanya kazi, lakini kifaa hakiendi.
Kifaa kinaenda au kwa njia isiyofaa.
Kumbuka: Kwa matatizo yote mengine, wasiliana na Muuzaji Huduma Aliyeidhinishwa.
Kutatua Matatizo ya Mashine ya Kukatia Nyasi
TATIZO
Ukataji wa mashine ya kukatia nyasi hautoshani.
Ukataji wa mashine ya kukatia nyasi unaonekana
sio laini.
Injini inachelewa kwa urahisi wakati mashine ya
kukatia nyasi imewashwa.
Injini INAWAKA, na kifaa kinasongea, lakini
mashine ya kukatia nyasi haikati.
Kumbuka: Kwa matatizo yote mengine, wasiliana na Muuzaji Huduma Aliyeidhinishwa.
KAGUA
Pedali ya breki haijasukumwa.
Toa mafuta yote kwenye tangi la mafuta.
Swichi ya PTO imewekwa kwenye eneo
linaloonyesha WASHA.
Udhibiti wa Uendeshaji umewashwa.
Injini imefurika.
Vichwa vya betri vinahitaji kusafishwa.
Betri haina chaji au imekufa.
Waya umelegea au umekatika.
Mchanganyiko wa mafuta umezidi sana.
Kiwango cha oili kiko chini.
Ubora wa oili usiosahihi.
Ubora wa oili usiosahihi.
Oili ni nyingi mno katika kasha la uendeshaji.
Chujio la hewa ni chafu.
Choki imefungwa.
Pedali za kudhibiti kasi hazijasukumwa chini.
Wenzo wa kutoa gia uko katika eneo linaloonyesha
SUKUMA.
Breki ya kuegesha imewekwa.
Hewa ya matairi si sahihi.
KAGUA
Matairi ya kifaa hayajawekwa hewa ipasavyo.
Kasi ya injini imewekwa chini sana.
Kasi ya ardhini imewekwa juu sana.
Kasi ya injini imewekwa chini sana.
Kasi ya ardhini imewekwa juu sana.
Kisafishaji hewa kimezibika au ni kichafu.
Urefu wa Kukata umewekwa chini sana.
Injini haina joto linalofaa la kuendesha.
Nyasi ni ndefu sana.
PTO haijawashwa.
SULUHU
Sukuma chini pedali ya breki kabisa.
Ikiwa injini ina joto, iache ipoe, kisha ujaze tangi la
mafuta.
Weka swichi ya PTO kwenye eneo linaloonyesha
ZIMA.
Songeza kurungu ya udhiti wa uendeshaji hadi
eneo linaloonyesha GIA HURU/ZIMA.
Tenganisha choki.
Rejelea Kusafisha Betri na Kebo.
Chaji au badilisha betri.
Kagua nyanya kwa macho. Ikiwa nyaya
zimechakaa au kukatika, mtembelee Muuzaji
Huduma Aliyeidhinishwa.
Safisha chujio la hewa.
Kagua na uongeze mafuta kama inavyotakikana.
Rejelea sehemu ya Washa na Zima Injini.
Rejelea sehemu ya Washa na Zima Injini.
Ondoa oili iliyosalia.
Rejelea sehemu ya Fanyia Huduma Chujio la
Hewa.
Fungua choki.
Sukuma chini pedali za kudhibiti kasi.
Songeza wenzo wa kutoa gia hadi eneo
linaloonyesha ENDESHA.
Wachilia breki ya kuegesha.
Rejelea sehemu ya Kagua Shinikizo la Tairi.
SULUHU
Rejelea sehemu ya Kagua Shinikizo la Tairi.
Weka kwa KASI ya juu zaidi.
Punguza mwendo.
Weka kwa KASI ya juu zaidi.
Punguza mwendo.
Rejelea sehemu ya Fanyia Huduma Chujio la
Hewa.
Kata majani marefu kwa Urefu wa juu kabisa
wakati wa pitio la kwanza.
Endesha injini kwa dakika kadhaa ili kuipasha joto.
Washa mashine ya kukatia nyasi katika eneo wazi.
Washa PTO.
77