yanayohusiana na mafuta au uchafu katika mfumo wa
mafuta.
Si lazima umwage mafuta kutka kwenye injini
wakati kiimarishaji mafuta kinapoongezwa kama ilivyoagizwa.
Kabla ya kuendesha, WASHA injini kwa dakika 2 ili kueneza
mafuta na kiimarishaji kote kwenye mfumo wa mafuta.
Kabla ya kuwasha mashine baada ya kuwa
kimehifadhiwa:
76
• Kagua viwango vyote vya mafuta na oili. Kagua vipengee
vyote vya udumishaji.
• Fanya kaguzi na taratibu zote zinazopendekezwa
zinazopatikana katika mwongozo huu.
• Hakikisha injini ina joto kabla ya kuitumia.