Briggs & Stratton P3000 Manual Del Usuario página 209

Ocultar thumbs Ver también para P3000:
Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • MX

Idiomas disponibles

  • MEXICANO, página 60
7. Rudisha kifuniko cha kisafisha hewa na kukaza
skrubu.
8. Rudisha kifuniko cha kisafisha hewa na kukaza
skrubu kwa mkono.
Karabati Kiziba Cheche Mchoro
Kubadilisha kiziba cheche kutauwezesha mtambo wako
kuwaka haraka na kufanya kazi barabara.
1. Shinikiza ndani juu ya kichupo kwa bibisi na
kuondoa kifuniko cha juu cha marekebisho.
2. Safisha sehemu iliyo na kiziba cheche na kutoa
kifuko cha kiziba cheche.
3. Toa kiziba cheche na kukikagua.
4. Badilisha kiziba cheche kama elektrodi
zimegubikwa, zimeungua ama kaulo imevunjika.
Badilisha na kiziba cheche kilichopendekezwa
pekee. Tazama Mapendekezo.
5. Angalia pengo la elektrodi ukitumia kipimi na
usawazishe pengo cha kiziba cheche kwa kiwango
kilichopendekezwa (TazamaMapendekezo).
6. Rudisha kiziba cheche na ukaze kabisa. Rudisha
kifuko cha kiziba cheche.
7. Rudisha kifuniko cha juu cha marekebisho.
Kagua Kishika Cheche
Kagua Kishika Cheche kwa madhara ama mzibo
wa moshi. Kama madhara yakipatikana kusafisha
ni muhimu, angalia mwakilishi Briggs & Stratton
aliyeidhinishwa.
ONYO! Ukigusa kifaa kinachopunguza sauti ya
eksozi unaweza kuchomeka na kusababisha
majeraha makubwa.
• Kuwa makini kwa tahadhari juu ya jenereta.
• Usiguse sehemu moto.
Kagua Pengo la Wari
Ukaguzi wa daima wa pengo la wali na marekebisho
huboresha utenda kazi na kurefusha maisha ya injini.
Utaratibu huu hauwezi kufanyika bila ya kufungua
injini nusu na matumizi ya zana maalum. Kwa sababu
hiyo tunapendekeza uwe na mhudumu wa Briggs &
Stratton aliyeidhinishwa aangalie na kurekebisha wari na
kupendekeza vipindi vya kurekebisha (Tazama Ratiba ya
Marekebisho).
10 11 12
Uhifadhi
Katika kuhifadhi mtambo huu kwa zaidi ya siku30, tumia
maelekezo ili kuiandaa kwa uhifadhi.
Linda Mfumo wa Mafuta
Mafuta inaweza kuoza wakati imehifadhiwa kwa zaidi
ya siku 30. Mafuta yaliyooza husababisha asidi na
fizi kukusanyika katika mfumo wa mafuta au kwenye
sehemu muhimu za kabureta.
Hakuna haja ya kumwaga petroli kutoka injini kama
kiimarishaji cha mafuta ni kinaongezwa kwa mujibu
wa maelekezo. Washia mtambo nje kwa dakika 2 ili
kusambaza kidhibiti katika mfumo wa kuhifadhi mafuta.
Kama petroli katika injini haijawahi kutibiwa na
kiimarishaji cha mafuta, ni lazima imwagwe katika
kontena iliyoidhinishwa. Acha mtambo ugurumie nje hadi
uzime kwa ukosefu wa mafuta. Matumizi ya kiimarishaji
cha mafuta kwenye kontena ya kuhifadhi inapendekezwa
kwa ajili ya kudumisha usafi.
ONYO! Mafuta na mivuke yake
yanaweza kuwaka na kulipuka hivyo
yanaweza kuchoma, washa moto au
mlipuko na kusababisha kifo au majeraha makubwa.
• Unapohifadhi mafuta ama kifaa kikiwa na mafuta
kwa mtungi, weka mbali na tanuri, majiko, hita za
maji, vikausha nguo au vifaa vingine ambavyo vina
taa ya gesi au chanzo kingine cha moto kwa sababu
vinaweza kuwasha mivuke ya mafuta.
• Unapotoa mafuta kutoka kwa jereta, zima injini na
uache ipoe kwa angalau dakika 2 kabla ya kufunua.
• Legeza kifuniko polepole kupunguza shinikizo katika
mtungi.
• Tolea mafuta nje ya makazi.
• Weka mafuta mbali na cheche, moto ulio wazi, taa za
gesi, joto, na vyanzo vingine vya moto.
Badilisha Oili ya Mtambo
Wakati ingali na joto, toa mafuta kwa kifuniko cha
fitokombo. Jaza na oili iliyopendekezwa. Tazama
Kubadilisha Oili ya Injini.
Vidokezo Vingine vya Kuhifadhi
1. USIHIFADHI mafuta kutoka msimu mmoja hadi
mwingine ila iwe imetibiwa kama ilivyoelezwa katika
Mfumo Wa Kulinda Mafuta.
2. Hifadhi jenereta, katika sehemu ilyo kavu na
kufunika na kinga nzuri ambayo haitasitiri unyevu.
ONYO! Vifuniko za hifadhi zinaweza
kusababisha moto unaoweza kuleta kifo au
majeraha makubwa.
• Usiweke kifuniko cha hifadhi juu ya jenereta ilyo moto.
• Wacha vifaa vipoe kwa muda wa kutosha kabla ya
kuweka kifuniko juu yake.
9

Publicidad

Tabla de contenido

Solución de problemas

loading

Este manual también es adecuado para:

030674-00

Tabla de contenido