Briggs & Stratton WP2-60 Manual Del Usuario página 204

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • MX

Idiomas disponibles

  • MEXICANO, página 60
Yaliyomo
Usalama na Ishara za Kuelekeza . . . . . . . . . . . . . . . 4
Maelezo ya Vifaa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 6
Vipengele na Vidhibiti. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 6
Uunganishwaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 6
Uendeshaji . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 7
Udumishaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Uhifadhi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Kutatua Matatizo. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Vipimo Maalum . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Udhamini . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 11
Usalama na Ishara za Kuelekeza
Ishara ya tahadhari ya uslama huashiria madhara ya
majeraha ya kibinafsi. Ishara ya usalama inaweza
kutumiwa kuwasilisha aina ya madhara. ONYO
huonyesha hatari ambayo, kama haitaepukwa, inaweza
kusababisha kifo au majeraha mabaya. HATARI
inaonyesha hatari ambayo isipoepukwa, inaweza
kusababisha kifo au jeraha dogo au wastani. NOTISI
huashiria maelezo yanayozingatiwa kuwa muhimu, lakini
hayahusiani na hatari.
Ishara ya Tahadhari
Mwongozo wa
ya Usalama
Mshtuko wa
Moto
Umeme
Kurudi nyuma
Eneo Telezi
haraka
Kiwango cha
Mafuta
Mafuta
Washa
Zima
Utoshaji
Utoshaji
4
Moshi wenye
Sumu
Maelekezo
Eneo Moto
Mlipuko
Fueli
Sehemu
Zinazosonga
Usiwashe
Udhibiti wa
Injini
Injini
Haraka
Polepole
Choki
Endesha
ONYO Mafuta na mivuke yake zina hatari ya
UNAPOONGEZA AU KUFYONZA MAFUTA
• ZIMA injini ya pampu ya maji na uwache ikitulie kwa
angalau dakika 2 kabla ya kuondoa kifuniko cha tangi
la mafuta. Legeza kifuniko hicho polepole ili kutoa
presha kwenye tangi.
• Jaza au kufyona mafuta kutoka kwa tanki ukiwa nje ya
makazi.
• USIZIDISHE mafuta kwenye tangi la mafuta. Ruhusu
nafasi kwa upanuzi wa mafuta.
• Mafuta yakimwagika, subiri mpaka pale ambapo
yatavukiza kabla ya kuwasha injini.
• Weka mafuta mbali na spaki, moto ulio wazi, taa za
gesi, joto, na vyanzo vingine vya moto.
• USIWASHE sigara wala kuvuta sigara.
UNAPOWASHA KIFAA
• USIWASHE mtambo kama kiziba cheche, mafla,
kifuniko cha mafuta na kisafisha hewa havipo mahali
pake.
• Usiwashe injini wakati kiziba cheche kimeondolewa.
WAKATI WA KUENDESHA KIFAA
• USIFUKUTE vimiminika vya kuwaka, kama mafuta ya
petroli/dizeli ama mafuta mengine ya mtambo.
• Pampu hii ya maji haifai kutumika kwa vifaa vya
kuhamishwa au katika kazi za ndani ya maji.
• USIINAMISHE injini au kifaa katika mkao
unaosababisha mafuta kumwagika.
• Hifadhi pampu ya maji. Uzito wa mabomba waweza
kuangusha mtambo.
• USIZIME mtambo kwa kusogeza kikaba hewa katika
msimamo wa "CHOKE" (
UNAPOSAFIRISHA AU KUKARABATI MTAMBO
• Safirisha/karabati matambo kama tangi la mafuta ni
TUPU ama kama vali ya mafuta UMEFUNGWA.
• Tenga waya ya kiziba cheche.
!
WAKATI WA KUHIFADHI MAFUTA AU KIFAA KILICHO
NA MAFUTA KWENYE TANGI
• Hifadhi mbali na tanuu, stova, hita za kuchemshia
maji, au vifaa vingine ambavyo vina taa za moto au
vyanzo vya moto kwa sababu vinaweza kuwasha
mivuke ya mafuta.
ONYO Joto la ekzosi/mivuke laweza kuwasha
kunaweza kusababisha kuungua na kusababisha
majeraha mabaya.
• Usiguse sehemu moto na EPUKA gesi moto
zinazotolewa.
• Ruhusu vifaa vipoe kabla ya kugusa.
• Hakikisha kwamba uko mbali na pande zote za
kioshaji kwa presha kwa angaa mita 1.5 (5 ft.) pamoja
na sehemu ile ya juu.
kuwaka na kulipuka na zaweza
kusababisha kuchomeka, moto ama
mlipuko unaoweza kusababisha
maafa au majeraha mabaya.
).
maunzi ya kuwaka, majenzi ama
kuharibu mtungi wa mafuta, na
kusababisha kifo au majeraha
mabaya. Kugusana na eneo la mafla
BRIGGSandSTRATTON.COM

Publicidad

Tabla de contenido

Solución de problemas

loading

Este manual también es adecuado para:

Wp3-65Wp2-35073010-01073011-01073035-00

Tabla de contenido