Maelezo ya Kifaa
Soma maelekezo haya kwa makini na
kuuelewa pampu yako ya maji. Jua matumizi
yake , upungufu wake, na hatari zozote
zinazohusika. Hifadhi maelekezo haya asilia
kwa marejeleo ya siku zijazo.
Mashine hii haijaundwa ili kutumiwa na watu (ikiwa ni
pamoja na watoto) walio na uwezo pungufu wa kimwili,
kihisia au kiakili, au walio na ukosefu wa uzoefu na maarifa.
Kila jitihada imefanywa ili kuhakikisha kwamba maelezo
katika mwongozo huu ni sahihi na ya sasa. Hata
hivyo, mtengenezaji anahifadhi haki ya kubadilisha,
kurekebisha, au kuboresha vinginevyo bidhaa hii na
waraka huu wakati wowote bila notisi ya mapema.
NOTISI Ikiwa una maswali kuhusu matumizi
yanayokusudiwa, wasiliana na mhudumu aliyeidhinishwa.
Kifaa hiki kimeundwa kutumiwa na bidhaa za nguvu za umeme
na vipuri vilizoidhinishwa vya Briggs & Stratton PEKEE.
Hulka na Vidhibiti Vielelezo
A Kizibo cha Msukumo
B Kipenyo cha Kumwaga K Kiwashi cha Waya
C Lebo ya Kitambulisho L
D Kipenyo cha Kufyonza M Swichi ya On/Off
E Mtiririko wa Maji
F Plagi ya Spaki
G Leva ya Kusakama
H Kisafishaji Hewa
Uunganishwaji
Ambatisha Padi za Kupambana na Mtetemo
Kwa kutumia misokoto ya 10mm, ambatisha padi
za kupambana na mtetemo kwenye bomba ya maji
kama ilivyoonyeshwa kwenye karatasi ya maagizo
iliyojumuishwa kwenye mkoba wa kupambana na
mtetemo. Lazima uambatishe padi za kupambana na
mtetemo kabla ya kuongezea oili ya injini na mafuta.
Mafuta
Mapendekezo ya Mafuta Kielelezo
Tunapendekeza matumizi ya mafuta Yaliyoidhinishwa
na Udhamini wa Briggs & Stratton kwa utendakazi bora.
Mafuta mengine yaliyo na sabuni ya kiwango cha juu
yanakubalika iwapo yamebainishwa kwa huduma ya SF,
SG, SH, SJ au ya juu zaidi. USITUMIE nyongeza maalum.
Hali joto ya nje inatambua mnato sahihi wa mafuta kwa
injini. Tumia chati kuteua mnato bora wa masafa ya hali
joto ya nje inayotarajiwa.
Ukaguzi wa Kiwango cha Oili
Kiwango cha mafuta kinafaa kukaguliwa kabla ya kila
matumizi au angalau kila baada ya saa 8 za uendeshaji.
Weka kiwango cha mafuta kinatosha na hakipungui.
1. Hakikisha pampu ya maji iko katika sakafu tambarare.
Modeli za 073010 & 073011 Kielelezo
2. Safisha eneo lililo karibu na mahali pa kuongezea
mafuta (A), na ukiondoe kifuniko cha sehemu ya
kuongezea mafuta.
3. Dhibitisha oili iko katika hali ya kufurika kwa mdomo wa
kijazio oili (B). Badilisha na ukaze kifuniko cha mafuta.
6
1
2
J
Maelezo ya Injini
Wenzo la Kasi ya Mtambo
N Tangi la Mafuta
P Kuvuja kwa Mafuta(oil)
R Mjazo wa Mafuta
S Vali ya Mafuta
3
4
Modeli ya 073035 Kielelezo
2. Safisha sehemu ya kujazia oili, ondoa kifuniko/Kijiti
cha kupimia mafuta na kukipangusa na kitambaa
kisafi. Rejesha kijiti cha kupimia oili. Ondoa na
ukague kiwango cha mafuta.
NOTISI USISOKOTE kijiti cha kuangalia oili unapoipima.
3. Thibitisha mafuta yako kwenye alama ya kujaa (A)
kwenye kijiti hicho. Sawazisha na ukaze kifuniko cha
mafuta.
Kuongeza Oili ya Mtambo
1. Hakikisha pampu ya maji uko katika sakafu tambarare.
2. Kuangalia kipimo cha oili katika Checking Oil Level.
3A. Kwa modeli za 073010 na 073011, kama oili
itahitajika, mwaga polepole ile oili polepole kwenye
shemu ya kujalizia oili hadi kwenye sehemu ile ya
kufurikia kwenye sehemu ya kumwagia oili (B).
USIJAZE kupita kiasi. Kielelezo
3B. Kwa modeli ya 073035, kama oili itahitajika, tia
mafuta (oil) polepole kupitia kwenye sehemu hiyo
ya kujazia mafuta (oil) hadi kufikia kwenye alama ya
kujaa (A) kwenye kijiti hicho husika. USIJAZE kupita
kiasi. Kielelezo
5
NOTISI Kujaza oili kupita kiasi kwaweza kusababisha
mtambo kutowaka ama kuwa mgumu kuwaka.
• USIJAZE kupita kiwango.
• Iwapo utajaza oili kupita kiwango, punguza oili hadi
kiwango cha "Full" katika kijiti cha kupimia.
4. Sawazisha na ukaze kifuniko cha mafuta.
Ongeza Oili Kielelezo
Mafuta lazima yakidhi mahitaji haya:
• Mafuta safi, matulifu, yasiyokuwa na risasi.
• Oktani ya kiwango cha chini cha 87/87 AKI (91
RON). Kwa matumizi katika sehemu za mwinuko,
tazama "High Altitude".
• Mafuta yaliyo na hadhi ethanoli 10% (gasohol) inakubalika.
NOTISI Matumizi ya mafuta yasiyoidhinishwa huharibu
mtambo na kubatilisha udhamini.
• USITUMIE mafuta ambayo hayajaidhinishwa, kama
vile E15 na E85.
• Usichanganye oili katika petroli au kubadilisha injini
ili itumie mafuta mbadala.
Ili kulinda mfumo wa mafuta dhidi ya uundaji wa gundi
changanya kidhibiti cha mafuta wakati unapokuwa ukiongeza
mafuta kwenye mashine yako. Tazama Hifadhi. Fueli zote sio
sawa. Ikiwa utapitia matatizo ya kuanza au utendakazi baada
ya kutumia mafuta, badilisha mhudumu wako wa mafuta au
badilisha aina za mafuta. Injini hii imeidhinishwa kuendeshwa
kutumia petroli. Mfumo wa udhibiti wa utoaji moshi wa injini
hii ni EM (Marekebisho ya Injini).
ONYO Mafuta na mivuke yake zina hatari kubwa
ya kuwaka na kulipuka na zaweza
kusababisha kuchomeka, moto au
mlipuko unaoweza kusababisha
maafa au majeraha mabaya.
WAKATI WA KUONGEZA MAFUTA
• ZIMA injini ya kioshaji kwa presha na ukiwache kitulie
kwa angalau dakika 2 kabla ya kuondoa kifuniko cha
tangi la mafuta. Legeza kifuniko hicho polepole ili
kutoa presha kwenye tangi.
• Jaza au toa mafuta kutoka kwa tanki ukiwa nje ya makazi.
• USIZIDISHE mafuta kwenye tangi la mafuta. Ruhusu
nafasi kwa upanuzi wa mafuta.
• Mafuta yakimwagika, subiri mpaka pale ambapo
yatavukiza kabla ya kuwasha injini.
• Weka mafuta mbali na spaki, moto ulio wazi, taa za
gesi, joto, na vyanzo vingine vya mwako.
• Kagua njia za mafuta , tangi, kifuniko na sehemu
nyingine mara kwa mara ili uone kama kuna nyufa na
uvujaji. Badilisha kama itahitajika.
• USIWASHE sigara wala kuvuta sigara.
5
4
6
BRIGGSandSTRATTON.COM