WALLACH 900160 Instrucciones De Uso página 50

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • MX

Idiomas disponibles

  • MEXICANO, página 25
Mfumo wa Upasuaji wa LL-CO
Tishu zikitibiwa kwa chombo hiki kwa muda mrefu zaidi, matokeo ni kuchomeka (kama vile
ugonjwa wa kuganda kwa baridi kali) kutokana na mvukizo wa haraka wa gesi oevu.
UNAPOBADILISHA NCHA HAKIKISHA "UMEZIMA" VALI YA WASHA/ZIMA (ON/OFF).
Kama vali ya WASHA/ZIMA (ON/OFF) itakuwa IMEWASHWA wakati wa kubadilisha ncha,
unaweza kuumia kutokana na kutenganishwa kwa ncha na friza ya chombo hicho katika shinikizo ya
juu.
TAHADHARI
Sheria ya Shirikisho ya U.S. imetilia masharti chombo hiki kuuzwa na au kuagizwa na daktari.
Kwa tukio la kushindwa kuyeyusha barafu, zima vali ya silinda, acha ncha katika mahali pake na
utumie maji safi kabisa au chumvi kuharakisha kuyeyuka au kuweka joto kisha toa ncha uyeyushi
wa barafu ukiwa dhahiri.
Pima uzito wa silinda ili kuamua ikiwa ina gesi ya kutosha kukamilisha utaratibu. Uzani wa silinda
tupu au "turuhani", huwekwa mhuru juu ya vali ya silinda au kwenye ubega. Ondoa uzani huu wa
turuhani kutoka kwa uzito wa jumla ili kuamua uzito wa gesi ilioko kwenye silinda. Tazama
maelezo ya kuachilia uzito uliozidi. Silinda lazima iwe na uzito usio pungua kilo 1.36 ya gesi kabla
ya kuanza utaratibu.
MFUMO HAUPASWI KUTUMIKA KAMA SHINIKIZO YA SILINDA IMEPUNGUA 650 PSI
(45.70 kg/cm
UPIMAJI WA YA SILINDA
TAHADHARI: Lazima silinda ihifadhiwe kwenye joto la kawaida (22 °C) kwa muda usiopungua
masaa mawili ili kuhakikisha usahihi wa somo la shinikizo.
1. Kaza kiunganishi cha nira kwenye silinda. Kaza kwa kutumia mkono pekee.
2. Tahini shinikizo ya silinda na kiunganishi cha nira kwa kuweka vali ya WASHA/ZIMA
(ON/OFF) mahali pa "ZIMA" ("OFF") kwenye LL-CO
kwa kutumia mpini. Kiasi cha kati ya PSI 650 (45.70 kg/cm
kuonyeshwa kwenye geji ya shinikizo wakati wa kufungua silinda iliyojaa. Shinikizo hutegemea
utimilifu wa silinda na joto iliyoko. Wakati huu, mvujo wowote lazima usikike. Ikiwa ni lazima,
kaza kiunganishi cha nira.
3. Shinikizo ya silinda ikizidi 800 psi (56.25 kg/cm
TAHADHARI: MFUMO HAUPASWI KUTUMIWA KAMA SHINIKIZO YA SILINDA
IMEPUNGUA 650 PSI (45.70 kg/cm
JINSI YA KUACHILIA GESI KUTOKA KWA SILINDA
TAHADHARI: SONGEZA SILINDA KWENYE ENEO LENYE HEWA SAFI.
1. ZIMA kabisa vali kuu ya silinda ya gesi.
2. Pole pole fungua kiunganishi cha nira kwenye silinda ya gesi. Hii huachilia gesi ilioyobaki kwenye
mfereji unaoingia kwenye silinda. Sauti ya zii ikiacha, ondoa kizuizi cha geji ya shinikizo.
3. Elekeza tundu la silinda mbali na wewe na polepole fungua vali kuu ya silinda pa kutosha tu kusikia
gesi ikitoka kwa kasi. Baada ya takribani sekunde 15, funga vali.
Kama silinda inatolewa gesi ili kupunguza gesi ya ziada, pima silinda tena kabla ya kuendelea.
Unganisha tena kizuizi cha geji ya shinikizo kiunganishi cha nira; fungua vali ya silinda ya gesi na
uangalie shinikizo ya gesi kwa makini. Dira ya geji inatakiwa kuonyesha kati ya 650 psi
(45.70 kg/cm
(56.25 kg/cm
 
37295 • Rev. B • 2/12
™ • Jinsi ya Kutumia Kifaa (Kiswahili / Swahili)
2
2
) AU IMEZIDI 800 PSI (56.25 kg/cm
2
) AU IMEZIDI 800 PSI (56.25 kg/cm
2
) na 800 psi (56.25 kg/cm
2
).
2
).
kisha, fungua vali ya silinda kikamilifu
2
2
) na 800 (56.25 kg/cm
2
), achilia gesi kutoka kwa silinda.
2
). Rudia utaratibu kama geji inasoma zaidi ya 800 psi
48
2
) kinatakiwa
2
)
Wallach Surgical Devices

Publicidad

Tabla de contenido
loading

Este manual también es adecuado para:

900161Cga320Cga940

Tabla de contenido