Mfumo wa Upasuaji wa LL-CO
JINSI YA KUSAFISHA NA KUONDOA BAKTERIA KWA NCHA ZA VYOMBO VYA UPASUAJI VYA
WALLACH 900200AA – 900217AA na 900300AA – 900306AA
ONYO: USITUMIE ETHILINI OKSIDI (ETO), BORITI YA UMEME AU MWALI WA
GAMMA KUONDOA BAKTERIA KWA SABABU UHARIBIFU UNAWEZA UKATOKEA
KWENYE NCHA ZA VIFAA VYA UPASUAJI.
TAHADHARI:
1. Ondoa ngao ya kutupika kwenye ncha za kifaa cha upasuaji na utupe.
2. Unganisha plagi ya ncha ya kifaa cha upasuaji kabla ya kusafisha na kuondoa bakteria. (Tundu la
plagi halihitaji kuondolewa bakteria).
3. Sugua ncha kuondoa damu na chembe.
4. Suuza kwa maji.
5. Ncha za chombo cha upasuaji zaweza kuondolewa bacteria kwa mvuke kwa mvutano (gravity) au
kuvuta kwanza (pre-vacuum) kwa kutumia utaratibu ufuatao.
Mpango
Kabla ya Kufunua
(Kuweka katika hali
fulani)
Kufunua
(Jaza mvuke)
Baada ya Kufunua
(Malizia kabisa/
Kausha)
6. Ambatisha ngao mpya ya plastiki ya kutupika kwenye ncha ya kifaa cha upasuaji, kwa kutumia
utaratibu usio na bakteria. Hakikisha kuwa vitanzi vilivyo juu ya ngao vimetiwa kwa usahihi ndani
ya mfuo ulio juu ya ncha ya metali.
7. Ncha ya chombo cha upasuaji sasa iko tayari kwa matumizi.
MAHALI PA KUJAZA TENA GESI
ILI KUHAKIKISHA UTENDA KAZI WA HALI YA JUU, TUMIA GESI BORA YA
MATIBABU ISIYO TIWA UCHAFU.
Gesi bora ya CO
mtaa wako chini ya vichwa vifuatavyo: Vifaa vya kuunganisha kwa kufua, gesi ya matibabu, gesi ya
kaboni, vifaa vya kugawa maji ya gesi ya kaboni. Wengi wa wasambazaji hawa huleta mpaka ofisini.
THIBITISHO
Wallach Surgical hutoa thibitisho kwa mfumo wa Wallach wa Friza ya LL-CO
na ncha kwa kipindi cha miaka tano (5) dhidi ya kasoro kwenye nyenzo na ustadi.
37295 • Rev. B • 2/12
™ • Jinsi ya Kutumia Kifaa (Kiswahili / Swahili)
2
Hatua / Jinsi
Maelezo mafupi ya
Mfululizo
Safisha nafasi ndani ya
mwili
Halijoto ya kufisha
Vijidudu
Muda wa kufisha
Vijidudu
Muda wa Kukauka
ya matibabu inapatikana kote duniani. Tazama orodha ya nambari za simu kwenye
2
Kigezo Kilichowekwa -kiwango
Mvutano
Dakika 1
132 °C (270 °F)
Dakika 15
Dakika 15
51
Kuvuta kwanza
Dakika 1
132 °C (270 °F)
Dakika 4
Dakika 20
™
Cryosurgical pamoja
2
Wallach Surgical Devices