4. Washa mashine ya kukatia nyasi na uweke visu kwenye
urefu wa juu zaidi wa kukata.
5. Zima mashine ya kukatia nyasi.
6. Ondoa mfereji wa bustani na sehemu ya kutenganisha
haraka kutoka kwenye eneo la kusafishia unapomaliza.
Uhifadhi
Onyo
Hatari ya Moto na Mlipuko
Usiwahi kuweka kifaa (kikiwa na mafuta) katika jengo
lililojifunga, na lbila hewa safi. Mivuke ya mafuta inaweza
kusafiri hadi kwenye chanzo cha mwako (kama vile tanuu,
hita ya kuchemshia maji, n.k) na kusababisha mlipuko. Mvuke
wa mafuta pia ni sumu kwa binadamu na wanyama.
Wakati wa Kuhifadhi Mafuta Au Kifaa Chenye Mafuta
kwenye Tangi
• Hifadhi mbali na tanuu, stovu, hita za kuchemshia maji,
au vifaa vingine ambavyo vina taa za moto au vyanzo
vingine vya mwako kwa sababu vinaweza kuwasha moto
kwenye mvuke wa mafuta.
Vifaa
Zima PTO, funga wenzo za kasi ya ardhini katika eneo la
kuonyesha ANZA/EGESHA (START/PARK) , ua uondoe
ufunguo.
Maisha ya betri yatarefushwa ufunguo ukiondolewa. Weka betri
mahali baridi na pakavu na uiweke ikiwa imejaa chaji wakati
wa kuhifadhi. Ikiwa betri imeachwa ndani ya kifaa, tengenisha
kebo ya hasi (negative).
Mfumo wa Mafuta
Mafuta yanaweza kuharibika yakihifadhiwa kwa zaidi ya siku
30. Mafuta yaliyoharibika yanaweza kusababisha mabaki ya
asidi na gundi kutengenezeka kwenye mfumo wa mafuta au
kwenye sehemu muhimu za kabureta. Ili kuhifadhi usafi wa
mafuta, tumia Briggs & Stratton® Advanced Formula Fuel
Treatment & Stabilizer, inayopatikana mahali popote ambapo
sehemu halisi za Briggs & Stratton zinauzwa.
Hakuna haja ya kumwaga petroli kutoka kwenye injini ikiwa
kiimarishaji mafuta kimeongezwa kulingana na maagizo. Washa
injini kwa dakika 2 ili kueneza kiimarishaji katika sehemu zote
za mafuta mfumo. Injini na mafuta baada ya hapo zinaweza
kuhifadhiwa kwa hadi miezi 24.
Ikiwa petroli katika tangi hayakushughulikiwa kwa kutumia
kiimarishaji mafuta, ni lazima yamwagwe kwenye kontena
iliyoidhinishwa Endesha injini hadi isimame kutokana na ukosefu
wa fueli. Matumizi ya kiimarishaji mafuta kwenye kontena ya
uhifadhi yanapendekezwa ili kudumisha usafi.
Oili ya Injini
Wakati injini bado ina joto, badilisha oili ya injini.
Kabla ya kuwasha kifaa baada ya kuwa kimehifadhiwa:
• Kagua viwango vyote vya mafuta na oili. Kagua vipengee
vyote vya udumishaji.
• Fanya kaguzi na taratibu zote zinazopendekezwa
zinazopatikana katika mwongozo huu.
• Wacha injini ipate joto kwa dakika kadhaa kabla ya kutumia.
Kutatua Matatizo
Kutatua Matatizo ya Kifaa
TATIZO
KAGUA
Injini haizunguki au
Wenzo za kasi ya ardhini
haiwaki.
hazipo katika maeneo
yanayoonyesha
ANZA/EGESHA
(START/PARK).
Swichi ya PTO (klachi ya
umeme) imo katika eneo
linaloonyesha WASHA
(ON).
Mafuta yameisha.
Vali ya mafuta imefunga
(ikiwa ipo).
Injini imefurika.
Mafuta yamekaa sana au
yameharibika.
Vichwa vya betri
zinahitaji kusafishwa.
Betri haina chaji au
imekufa.
Kasoro kwenye plagi ya
spaki, imegongwa au
haijawachiwa nafasi
ipasavyo.
Maji kwenye mafuta.
Injini inaanza kwa tabu
Mchanganyiko wa mafuta
au inafanya kazi duni.
umezidi sana.
Kasoro kwenye plagi ya
spaki, imegongwa au
haijawachiwa nafasi
ipasavyo.
Chujio la mafuta ni chafu.
Injini haiwaki ipasavyo
Kiwango cha oili kiko
(engine knocks).
chini.
Kutumia oili ya gredi
mbaya.
Matumizi ya oili kupita
Injini inakuwa moto sana.
kiasi.
Kutumia oili ya gredi
mbaya.
Oili ni nyingi mno katika
kasha la uendeshaji.
SULUHU
Funga wenzo za kasi ya
ardhini katika maeneo
yanayoonyesha
ANZA/EGESHA
(START/PARK).
Weka katika eneo
linaloonyesha ZIMA
(OFF).
Ikiwa injini ina joto, iache
ipoe, kisha ujaze tena
tangi la mafuta.
Fungua vali ya mafuta.
Fungua choki (ikiwa ipo).
Mwaga mafuta na
ubadilisha kwa mafuta
safi.
Safisha ncha za betri.
Chaji upya betri au
uibadilishe.
Safisha na uiwachie
nafasi au uibadilishe.
Kausha mafuta na jaza
upya mafuta safi.
Safisha chujio la hewa.
Kagua choki (ikiwa ipo).
Safisha na uiwachie
nafasi au uibadilishe.
Badilisha chujio la
mafuta.
Kagua/ongeza oili
inavyohitajika.
Tazama Mapendekezo
ya Mafuta .
Kagua pezi za injini,
skrini ya blowa, na
kisafishaji hewa.
Tazama Mapendekezo
ya Mafuta .
Mwaga oili ya ziada.
101