Kumbuka: Maelezo ya injini yaliyo kwenye mwongozo huu
yanatumika kwenye injini za Briggs & Stratton peke yake. Ili
kupata maelezo kuhusu injini zisizo za Briggs, pitia mwongozo
wa injini uliokuja na kifaa chako.
Sehemu Na Vikorokoro
Tembelea Muuzaji Aliyeidhinishwa wa Udumishaji.
103