D
Lebo, Kasi ya Injini
(Bila Choki)
Na. ya Sehemu
7105868
E
Lebo, Hatari,
Vipengele
Vinavyorushwa
(Miundo ya Kuuzwa
Nje ya ANSI)
Na. ya Sehemu
7106109
F
Lebo, Ulegezaji Gia
Na. ya Sehemu
1758366
F
Lebo, Ulegezaji Gia
(Miundo yenye
Mwangiko)
Na. ya Sehemu
1758366
Ufafanuzi wa Ikoni za Lebo ya Usalama
A
ONYO: Soma na uelewe Mwongozo wa Mwendeshaji kabla ya kutumia
mashine hii. Fahamu eneo na utendaji wa vidhibiti vyote. Usiendeshe
mashine hii ispokuwa ikiwa umepitia mafunzo.
B
HATARI - HATARI YA KUKATWA VIUNGO VYA MWILI: Ili uepuke
majeraha kutokana na visu vinavyozunguka na sehemu zinazotembea,
weka vifaa vya usalama (vizuizi, ngao na swichi) tayari na viwe
vinafanya kazi.
92
C
HATARI - HATARI YA VITU VINAVYORUSHWA NA KUKATWA
VIUNGO VYA MWILI: Ili uepuke majeraha, katia nyasi mbali na
watazamaji na watoto. Ondoa vitu ambavyo vinaweza kurushwa na
visu. Usikate nyasi bila chuti ya kutoa nyasi au kikamata nyasi
kuwekwa.
D
HATARI - HATARI YA KUINAMA / KUBINGIRIKA: Kata nyasi
kutoka/kuelekea juu na chini ya miteremko, sio kutoka upande mmoja
hadi mwingine. Usiendeshe katika miteremko iliyoinama zaidi ya digrii
10. Punguza kasi wakati unapogeuka.
E
HATARI - HATARI YA KUKATWA VIUNGO: Usiwahi kubeba watu,
hasa watoto, hata kama visu vimezimwa. Usikate nyasi ukirudi nyuma
isipokuwa kama inahitajika. Tazama chini na nyuma - kabla na wakati
wa kurudi nyuma.
F
HATARI - HATARI YA UDHIBITI: Ikiwa nguvu ya kuvuta itapotea
kwenye mteremko, simamisha mwendo wa mbele, zima PTO, na
uteremke chini ya mteremko polepole.
G
HATARI: Weka breki za kuegesha, ondoa ufunguo na urejelee
maelezo ya kiufundi kabla ya kufanya ukarabati au udumishaji.
H
HATARI - HATARI YA MOTO: Ondoa ufunguo na usubiri dakika tatu
(3) kabla ya kuongeza mafuta.
I
HATARI - HATARI YA VITU VINAVYORUSHWA: Usikate nyasi bila
chuti ya kutoa nyasi au kikamata nyasi kuwekwa.
J
HATARI - HATARI YA VITU VINAVYORUSHWA NA KUKATWA
VIUNGO VYA MWILI: Ili uepuke majeraha ya visu vinavyozunguka,
kaa mbali na ukingo wa deki na ukatie nyasi mbali na watu wengine.
Ukaguzi wa Mifumo ya Usalama
ya Intaloki
Hatari
USIENDESHE mashine ikiwa intaloki yoyote ya usalama au
kifaa chochote cha usalama hakiko mahali pake na hakifanyi
kazi ipasavyo. Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa kwa
usaidizi mara moja. USIJARIBU kupambana, kubadilisha au
kuondoa kifaa chochote cha usalama.
JARIBIO LA 1 - Ni lazima injini isiwake ikiwa:
• Swichi ya PTO imewashwa, AU,
• Wenzo za kasi ya ardhini hazijawekwa vizuri kwenye
maeneo yanayoonyesha ANZA / EGESHA (START / PARK).
JARIBIO LA 2 - Injini inafaa kuwaka ikiwa:
• Swichi ya PTO HAIJAWASHWA, NA,
• Wenzo za kasi ya ardhini zimefungwa katika nafasi zao za
maeneo yanayoonyesha ANZA / EGESHA (START / PARK).
JARIBIO LA 3 - Ni lazima injini izime ikiwa:
• Mwendeshaji atainuka kutoka kwenye kiti wakati PTO
imewashwa, AU
• Mwendeshaji atainuka kutoka kwenye kiti wakati wenzo za
kasi ya ardhini hazijawekwa vizuri kwenye nafasi zao za
maeneo yanayoonyesha ANZA / EGESHA.
JARIBIO LA 4 - Kagua muda ambao visu vya kukatia nyasi
vinachukua kusimama
Mabapa ya kukatia nyasi na mkanda wa kuendeshea mashine
ya kukata nyasi lazima vitakuja kukamilisha kusimama ndani
ya sekunde tano baada ya switchi ya umeme ya PTO kuwa