imezimwa. Ikiwa mkanda wa mashine ya kukatia nyasi
hautasimama ndani ya sekunde tano, mtembelee muuzaji wako.
Kumbuka: Mara tu injini inaposimama, ni lazima swichi ya PTO
lazima izimwe, na wenzo za kasi ya ardhini ni lazima ziingizwe
kwenye nafasi zao za maeneo yanayoonyesha ANZA/EGESHA
ili kuwasha injini.
Vipengele na Vidhibiti
Linganisha vipengele na vidhibiti kwenye Kielelezo 2 na jedwali
lililo hapa chini.
Rej.
Ufafanuzi / Utendaji
A
Pedali ya Kuinua Deki, Pini ya
Ubadilishaji Urefu wa Kukatia na
Wenzo wa Kufunga Uinuaji wa Deki
- hubadilisha urefu wa kukatia
B
Wenzo wa Kulia wa Kasi ya Ardhini
- hudhibiti kasi na mwelekeo wa
gurudumu la kuendesha la upande
wa kulia; pia huweka breki ya
kuegeshea
C
Swichi ya Kuwashia - huwasha injini
D
Kidhibiti Kasi ya Injini - hudhibiti kasi
ya injini
E
Swichi ya PTO - huweka na kutoa
klachi ya visu vya mashine ya kukatia
nyasi
F
Mita ya Saa
G
Wenzo za Kuwachilia Gia -
huwachilia gia ili kifaa kiweze
kubiringika huru
H
Kifuniko cha Tangi la Mafuta
Ikoni
Ufafanuzi /
Uendeshaji
Tazama Ubadilishaji
Urefu wa Kukatia
Kuongeza kasi ya
kuenda mbele ardhini -
sukuma wenzo mbele
Bila gia - wachilia
wenzo
Washa injini - vuta
wenzo nje
Kuongeza kasi ya
kurudi nyuma ardhini -
vuta wenzo nyuma
Weka breki ya
kuegeshea - songeza
wenzo nje
Injini imezimwa
Injini imewashwa
(inaguruma)
Kuwasha injini
Choki imewashwa
(imefungwa) - kwa injini
za Briggs pekee yake
Kasi ya injini haraka
Kasi ya injini polepole
Washa PTO - vuta juu
kwenye swichi
Huonyesha jumla ya
saa za uendeshaji wa
injini
Tazama Kusukuma
Kifaa kwa Mkono
Zungusha kifuniko
kinyume-saa ili
ukiondoe
I
Ubadilishaji Kiti cha Mwendeshaji
J
Wenzo wa Kushoto wa Kasi ya
Ardhini - hudhibiti kasi na mwelekeo
wa gurudumu la kuendesha la
upande wa kushoto
Uendeshaji
Mapendekezo ya Oili
Kiwango cha Oili: Tazama Sehemu ya Maelezo .
Tunapendekeza matumizi ya oili Zilizoidhinishwa na Hakikisho
la Briggs & Stratton ili kupata utendakazi bora. Oili nyingine za
usafishaji zinakubalika ikiwa zimebainishwa kwa huduma ya
SF, SG, SH, SJ au ya juu zaidi. Usitumie vitegemezi maalum.
Hali joto ya nje inaamua mnato sahihi wa oili kwa injini. Tumia
chati kuchagua mnato bora zaidi kwa hali joto ya nje
inayotarajiwa.
A
SAE 30 - Chini ya 40 °F (4 °C) matumizi ya SAE 30 yatasababisha
ugumu wa kuwasha.
B
10W-30 - Juu ya 80 °F (27 °C) matumizi ya 10W-30 yanaweza
kusababisha uongezeko la matumizi ya oili. Kagua kiwango cha oili
mara nyingi zaidi.
C
Synthetic 5W-30
D
5W-30
Kagua Kiwango cha Oili
Tazama Kielelezo: 3
Kabla ya kuongeza au kukagua oili
• Hakikisha injini inadumisha mizani.
• Safisha eneo la kujazia oili kutokana na vifusi vyovyote.
1. Ondoa kifaa cha kupima kiwango cha oili (A, Kielelezo 3)
na upanguse ukitumia kitambaa safi.
Tazama Ubadilishaji
Kiti
Kuongeza kasi ya
kuenda mbele ardhini -
sukuma wenzo mbele
Bila gia - wachilia
wenzo
Washa injini - vuta
wenzo nje
Kuongeza kasi ya
kurudi nyuma ardhini -
vuta wenzo nyuma
93