Yaliyomo
Maelekezo Muhimu ya Usalama . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Maelezo ya Vifaa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 6
Vipengele na Vielekezi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 6
Uunganishaji . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 6
Operesheni . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 7
Udumishaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Kuhifadhi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Utatuaji wa Matatizo . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Vipengele vya Bidhaa. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Udhamini . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 11
Maagizo Muhimu Ya Usalama
HIFADHI MAAGIZO HAYA - Mwongozo huu una
maagizo muhimu ambayo sharti yafuatwe wakati wa
kutumia mtambo huu wa kupampu maji.
Usalama na Ishara za Kuelekeza
Alama ya tahadhari ya usalama inaonyesha hatari ya
majeraha inayowezekana. Ishara ya usalama inaweza
kutumika kuwakilisha aina ya hatari. ILANI inaonyesha
athari ambayo isipoepukwa, inaweza kusababisha
kifo au majeraha makubwa. TAHADHARI inaonyesha
athari ambayo isipoepukwa, inaweza kusababisha
majeraha madogo au ya wastani. NOTISI inahusisha
mazoea yasiyohusika na majeraha ya kibinafsi.
Ishara ya Tahadhari
Kabrasha la
ya Usalama
Maelekezo
Mlipuko
Kurudi nyuma Sakafu Telezi
Kiwango cha
Mafuta
Mafuta
Washa
Zima
Utoshaji
Utoshaji
4
Moshi
wenye Sumu
Moto
Uso wa
Moto
Petroli
Kuungua
kwa Kemikali
!
Usiwashe Injini
Udhibiti wa
Injini
Haraka
Polepole
Sakama
Endesha
ILANI Mafuta na mivuke yake zina hatari ya kuwaka
na kulipuka na zaweza kusababisha
kuchomeka, moto ama mlipuko
unaoweza kusababisha maafa au
majeraha mabaya.
UNAPOONGEZA AMA KUFYONZA MAFUTA
• ZIMA pampu ya mafuta na kuacha ipunguze joto kabla
ya kutoa kifuniko. Legeza kifuniko taratibu ili kupunguza
shinikizo katika tanki.
• Jaza au kufyona mafuta kutoka kwa tanki ukiwa nje ya
makazi.
• USIZIDISHE mafuta kwenye tangi la mafuta. Ruhusu
nafasi kwa upanuzi wa mafuta.
• Kama mafuta yatamwagika, subiri mpaka pale ambapo
yatakapoyeyuka kabla ya kuwasha injini.
• Hakikisha kwamba mafuta yako mbali na cheche za
moto, miali ya moto, taa zilizo mbele ya mashine, joto, na
vianzio vingine vya kuwasha.
• USIWASHE sigara wala moshi.
UNAPOWASHA MTAMBO
• USIWASHE mtambo kama kiziba cheche , kitulizo,
kifuniko cha mafuta na kisafisha hewa havipo mahali
pazo.
• Usishtue injini wakati plagi ya spaki imeongolewa.
UNAPOENDESHA MTAMBO
• USIFUKUTE vimiminika vya kuwaka, kama mafuta ya
petroli/dizeli ama mafuta mengine ya mtambo.
• Pampu hii ya kupiga maji haifai kutumika kwa
kuhamahama au katika kazi za ndani ya maji
• USIWEKE injini au mitambo katika hali ambayo
itasababisha mafuta kumwagika.
• Hifadhi pampu ya maji. Uzito wa mabomba waweza
kuangusha mtambo.
• Usizime mtambo kwa kusogeza kikaba hewa katika
msimamo wa "CHOKE" )
UNAPOSAFIRISHA AMA KUKARABATI MTAMBO
• Safirisha/karabati matambo kama mtungi wa mafuta ni
MTUPU ama kama wari wa mafuta UMEFUNGWA.
• Tenga waya ya kiziba cheche.
UNAPOHIFADHI MAFUTA AMA MTAMBO UKIWA NA
MAFUTA
• Hifadhi mbali na tanuu, stova, hita za kuchemshia maji,
au vitu vingine ambavyo vina taa za moto au vyanzo vya
mwako kwa sababu vinaweza kuwasha mivuke ya mafuta.
ILANI Joto la ekzosi/mivuke vyaweza kuwasha maunzi ya
kuwaka, majenzi ama kuharibu mtungi wa
mafuta, na kusababisha kifo au majeraha
mabaya. Kutagusana na eneo hili la mafla
kunaweza kusababisha kuungua na hivyo
basi kusababisha majeraha mabaya.
• USIGUZE sehemu moto na EPUKA gesi moto
zinazotolewa.
• Ruhusu mitambo kupoa kabla ya kuigusa.
• Hakikisha kwamba uko mbali na pande zote za kioshaji
kwa presha kwa angaa mita 1.5 (5 ft.) pamoja na sehemu
ile ya juu.
BRIGGSandSTRATTON.COM
).