Briggs & Stratton 073052-00 WP2RS Manual De Instrucciones página 104

Tabla de contenido

Publicidad

Idiomas disponibles
  • MX

Idiomas disponibles

  • MEXICANO, página 20
Kina cha kusukuma maji juu kinapoongezeka, utoaji wa
maji unapungua. Urefu, aina, na kimo cha mabomba
ya kufyonza na kumwaga vyaweza pia kuathiri kwa
ukubwa jinsi utoaji wa maji utakuwa.
Ni muhimu kwa operesheni ya ufyonzaji iwe ndio fupi
katika harakati nzima ya kupiga maji. Hii itapunguza
muda wa kumwaga maji katika pampu na kuboresha
utenda kazi kwa kuongeza kina cha kupiga maji.
Tazama"Maelezo ya Kina" kwa kiwango cha juu cha
hesabu ya kilele.
Kumwaga Kioevu Katika Pampu ya Maji
Kielelezo
12
1. Kutoa Kizibo cha Msukumo kutoka juu ya pampu.
2. Jaza pampu na maji safi hadi kiwango kilichoonyeshwa.
3. Badilisha kizibo cha msukumo.
ILANI Matumizi mabaya ya pampu ya kupiga maji yaweza
kuiharibu na kufupisha maisha yake
• Hakikisha kuwa chumba cha pampu kimejazwa maji kabla
ya kungurumisha mtambo. Usiendeshe mtambo huu bila
ya kujaza maji ya msukumo.
Weka Kapu la Kuchuja Katika Chanzo cha
Maji
Kielelezo
13
Weka kapu la kuchuja katika maji yatayopigwa. Kapu lazima
lizame kikamilifu katika maji. Kupunguza ufyonzi wa mchanga
ama uchafu, weka kapu la kuchuja juu ya mawe makacha.
ILANI Matumizi mabaya ya pampu ya kupiga maji
yaweza kuiharibu na kufupisha maisha yake
• USIENDESHE mtambo bila kapu la kuchujia katika upande
wa kufyonza.
• Usiweke kichujio katika mchanga ama uchafu - weka katika
ndoo ama juu ya mawe.
• USIACHE pampu ingurume ikiwa kavu ama uharibifu wa
vikuku vya mpira utasababika. Usiendeshe mtambo huu
bila ya kujaza maji ya msukumo.
• USIFYONZE maji ya chumvi.
Kuwasha Pampu ya Maji Kielelezo
Tumia maelekezo yafuatayo ya kuwasha:
1. Hakikisha mtambo uko juu ya sakafu tambarare na
chumba cha pampu kina maji.
2. Weka kizimi cha mafuta kwa (G( hali ya "ON" )I( kamili.
3. Sogeza kikaba hewa (F( kwa "CHOKE" )
4. Elekeza swichi ya "on/off ")N( kwa "ON" )I( kamili.
5. Elekeza wenzo la kasi ya mtambo (E( kwa "FAST" )
kamili.
ILANI Kurudi kwa kamba ya kiasha mtambo (kunywea
haraka) kwaweza kuvuta mkono kuuelekekeza
kwenye mashine kwa kasi kuliko unavyoweza
kuachilia ambako kunaweza sababisha kuvunjika
kwa mkono, kuvunjika mifupa, kupata miparuzo
ama kuteguka na kusababisha majeraha mabaya.
• Wakati unapowasha injini, vuta kamba polepole mpaka
pale ambapo utaweza kuhisi upinzani na kisha uvute kwa
haraka ili kuepuka kukataa kuwashwa kwa mtambo.
• Weka mikono na mwili mbali na pampu ya kumwaga.
• Hifadhi bomba la kumwaga kuzuia kugongwa.
8
6. Twaa mpini-nywea (H) na kuvuta polepole hadi uhisi
ugumu duni. Vuta mpini kwa kasi ili kudhibiti mgandamizo,
epuka kurudi kwa nyuma na kuwasha mtambo.
ILANI Kama kuna mafuta mengi katika hewa/
mchanganyiko wa mafuta unasababisha hali ya
"kufurika", mtambo hautawaka. Sogeza kikaba hewa
(F( kwa "RUN" )
mtambo ungurume.
7. Mtambo unapopata joto, Sogeza kikaba hewa (F) kwa
"RUN" )
kikiwa katika hali ya "RUN".
ILANI Inaweza chukuwa dakika kadha kwa pampu
kuanza kupiga maji.
NOTICE Iwapo mtambo hauwaki baada ya mivuto
tatu ya mpini, ama inazima baada ya kunguruma,
hakikisha mtambo uko juu ya sakafu tambarare na
uangalie kiwango cha oili katika fitokombo. Mtambo
huu una kifaa cha kuukinga dhidi ya kiwango cha
chini cha oili. Ikiwa hivyo, oili sharti iwe katika kiwango
kifaacho kwa mtambo kunguruma.
ILANI Joto la ekzosi/mivuke laweza kuwasha maunzi ya
kuungua na hivyo basi kusababisha majeraha mabaya.
• USIGUZE sehemu moto na EPUKA gesi moto
zinazotolewa.
• Ruhusu mitambo kupoa kabla ya kuigusa.
• Hakikisha kwamba uko mbali na pande zote za kioshaji
kwa presha kwa angaa mita 1.5 (5 ft.) pamoja na sehemu
ile ya juu.
Fanaka ya pampu inadhibitiwa na urekebishaji wa
kasi ya mtambo. Kuelekeza wenzo la kasi ya mtambo
kwa "FAST" )
kuelekeza wenzo la kasi katika mtindo wa "SLOW" )
) kutapunguza uzalishaji.
Kuzima Pampu ya Maji
1
1. Elekeza wenzo la kasi (E( kwa "SLOW" )
ILANI Mafuta na mivuke yake zina hatari ya
) kamili.
• USIZIME mtambo kwa kusogeza kikaba hewa kwa
)
msimamo wa "CHOKE" )
2. Elekeza swichi ya "on/off")N( katika "OFF" )0( kamili.
3. Weka kizimi cha mafuta kwa (G( hali ya "OFF" )0(
kamili.
Toa Maji na Kukausha Pampu Kielelezo
1. Tenganisha na kutoa maji kwenye mabomba ya
kufyonza na kumwaga.
2. Toa kizibo cha kumwaga (L) katika kina cha pampu.
3. Toa kizibo cha kulowesha (A) kutoka juu ya pampu na
kukausha vifaa vya ndani vya pampu na maji safi.
4. Rudisha vizibo vyote viwili na kukaza kwa vidole.
) na kuvuta mpini ukirudiarudia hadi
) kamili. Endesha mtambo kikaba hewa
kuwaka, majenzi ama kuharibu mtungi
wa mafuta, na kusababisha kifo au
majeraha mabaya. Kutagusana na eneo
hili la mafla kunaweza kusababisha
) kutaongeza uzlishaji wa pampu, na
Kielelezo
kuwaka na kulipuka na zaweza
kusababisha kuchomeka, moto ama
mlipuko unaoweza kusababbisha
maafa au majeraha mabaya.
).
BRIGGSandSTRATTON.COM
1
) kamili.
1

Publicidad

Tabla de contenido

Solución de problemas

loading

Este manual también es adecuado para:

073051-00 wp3rs

Tabla de contenido